joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Aisee, hivi wewe ni binadamu pia?. Huyu mtu alishinda na mahakama kuu ikaamuru alipwe, serikali ikakata rufaa katika mahakama ya rufaa, MAHAKAMA ya rufaa ikatupilia mbali rufaa ya serikali na kuamuru alipwe.Hehehe kupatwa kwa akili kisoda leo
Kwa hiyo unafikiri kila kitu mahakama ikipitisha ni sawa? Ndio maana kuna cort of appeals, suala kama huyo beberu alikua akifadhili apartheid rule haliwezi kuwa justified easy kwenye mchakato wa kimahakama sababu ya sababu fulani fulani
Kama alikuja Tanzania kama investors wengine anahaki ya kulindwa na sheria za Tanzania kama muwekezaji na vile vile International arbitration, hizo sheria hazitambui beberu wala mambo ya apartheid policy so kisa sheria na lawsuits zilizotumika kuendesha case hazitambui hayo mambo haimaanishi kwamba hayo mambo ni mema na huyo mtu hana hatia.
Akili yako nshakuambia ni kisoda, hata kule guantanamo wapo wanaoteswa miaka na miaka lakini mahakamani hawapelekwi kamwe, ni kutokana na kwamba kuna maslahi ya watu fulani waliyaingilia ambayo sio judicial tangible
Akili kisoda wewe kichwa nazi [emoji57][emoji57][emoji57]
Kwahiyo wewe hutaki hata kuheshimu mahakama zetu, wewe ni binadamu kweli?. Sasa ulitaka afanye nini kama amefuata taratibu zote za Tanzania katika kudai haki yake,?.
Ninarudia tena, wewe level yako ya kujadili ni kule kwa akina Wema na Hamisa, huku unatuambukiza ujinga.