Katika hili, waafrika tunakosea sana.

Aisee, hivi wewe ni binadamu pia?. Huyu mtu alishinda na mahakama kuu ikaamuru alipwe, serikali ikakata rufaa katika mahakama ya rufaa, MAHAKAMA ya rufaa ikatupilia mbali rufaa ya serikali na kuamuru alipwe.

Kwahiyo wewe hutaki hata kuheshimu mahakama zetu, wewe ni binadamu kweli?. Sasa ulitaka afanye nini kama amefuata taratibu zote za Tanzania katika kudai haki yake,?.

Ninarudia tena, wewe level yako ya kujadili ni kule kwa akina Wema na Hamisa, huku unatuambukiza ujinga.
 
Boss umeona hiyo hukumu ya senior magistrate wa kitanzania? Nanukuu, If he(The president) contracts sickness, even not serious, the country currency must lose it is value. Hicho ndicho kifungu cha sheria ambacho alikitumia kumpa sugu kifungo cha miezi mitano. [emoji38] Hebu usilete ubishi baada ya hapo. Ukweli unaujua acha tantarira.
 
Shiiiiiiiiiiit foooooool bastard 😏😏😏😏

Hivi Unajua kitu kinaitwa proceedings, judicial proceedings, litigation ,indictment, kama caps zake zinapo sensible ni lazima ashinde

Ndio alikua ni mkulima Tanzania na Tanzania ilimfukuza kimabavu sababu hatukutaka makaburu na sababu ya uchunguzi wa siri ulipofanywa ulionesha anafadhili apartheid but hakukuwa na sheria Tanzania zinazotambua apartheid policy wala sheria zinazosimamia matumizi ya pesa ya muwekezaji nje ya mipaka ya Tanzania, kwa akili yako hapo unafikiri mahakama itafanyaje?

Wewe takataka usinipotezee muda kwanza huna akili 😏😏😏😏
 
Mbona serikali ilikubali kulipa, kati ya $36M mahakama iliyoamuru alipwe, serikali ilimtafuta na kumuomba apunguze hadi $30M, yeye alikubali na serikali ilikwashamlipa $20M, lakini haihamalizia pesa iliyobaki.

Sasa hivi serikali inakiri kudaiwa na huyo jamaa, na haijakataa kulipa, wabachotaka ni kuruhusu ndege iachiwe wakati mazungumzo ya kumalizia deni yanaendelea.

Wewe hujui lolote zaidi ya kufuata upepo. Sasa hizo taarifa za aperthaid umezitoa wapi?. Wewe nenda kwa kina Wema na Hamisa, akili yako ni ndogo sana kuzungumza mambo kama haya.

Vipi Vanessa amerudiana na Jux?. Vipi Hamisa na Christian Bella wana date au?. Halafu nimesikia Harmonize amejitia WCB ni kweli?.
 
Eti serikali imemlipa mil 20

Alilipa mamako hiyo hela 😏😏😏
 
Eti serikali imemlipa mil 20

Alilipa mamako hiyo hela [emoji57][emoji57][emoji57]
Jinga wewe, hujui vunalozungumza unaleta ujinga wako hapa, juzi ulimsikiliza Dr. Abbas akisema kwamba deni lenyewe tumeshalimaliza limebaki kidogo sana?.

Tafadhali usijiingize katika "heavy voltage discussions" kama hizi. Nimekuuliza kuhusu habari zinazokufaa, tafadhali jibu kuhusu Jux na Vanessa, au kuhusu Harmonize kujitoa WBC, wewe maoni yako ni nini?, ataweza kusimama pekee kweli?
 
Nilikuambia wewe ni poyoyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umeamini sasa?
Mbulula na kuhadi wa mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…