Lakini tusi generalised kiivyo kwani mbona kuna watoto wetu kila kitu anapewa na mimba wanapata, shule nzuri, pesa za kutumia, na magari ya shule pia!! mi hapa nnachotaka kusema ni kweli H/G anakua amekosea ila tukiangalia na mazingira ya kwao kumrudisha bila kumsaidia chochote ili aweze kuendesha maisha yake ni kuongeza umaskini kwa ile familia aliotoka!!mbona mie nilikuwa nampa 35 na alipata? na hapo ni nje ya kila kitu, malazi juu yangu,hata vitu vya kidada nilikuwa namnunulia pale ninapoweza....
Jamani mnaona ile rangi nyekundu, hapa ndipo kuna pointi ya maana, jadilini ktk hili,Lakini tusi generalised kiivyo kwani mbona kuna watoto wetu kila kitu anapewa na mimba wanapata, shule nzuri, pesa za kutumia, na magari ya shule pia!! mi hapa nnachotaka kusema ni kweli H/G anakua amekosea ila tukiangalia na mazingira ya kwao kumrudisha bila kumsaidia chochote ili aweze kuendesha maisha yake ni kuongeza umaskini kwa ile familia aliotoka!!
Mkuu kuna katufe ka thanks hapo pembeni unakagonga tu!Jamani mnaona ile rangi nyekundu, hapa ndipo kuna pointi ya maana, jadilini ktk hili,
Lakini tusi generalised kiivyo kwani mbona kuna watoto wetu kila kitu anapewa na mimba wanapata, shule nzuri, pesa za kutumia, na magari ya shule pia!! mi hapa nnachotaka kusema ni kweli H/G anakua amekosea ila tukiangalia na mazingira ya kwao kumrudisha bila kumsaidia chochote ili aweze kuendesha maisha yake ni kuongeza umaskini kwa ile familia aliotoka!!
wale wanaowatendea mabaya hawa mabinti, kamwe hatutaelewana nao
No..siyo kweli wanapata tu hata kama ukimlipa zaidi ya 30,000/- mifano tunayo..ila hii mada inamafundisho sana..ni kero kubwa kwenye nyumba zetu "wasichana vs Wake zetu" big issueKama ni ya mmeo, cha kufanya ni kuwaeleza wazazi wake kuwa amekuwa mke mwenzio na sio mfanyakazi tena, mmeo kama atakubali mwambie ampangishie chumba
Hiyo mishahara midogo ndiyo inayosababisha wapewe mimba na wauza mchicha magengeni au wapiga debe,
Msichana anayelipwa kuanzia 30,000/= kwa mwezi hawezi kupata mimba kienyeji hivyo.
Hivi kuna nini kati ya hawa wawili, hakina mama wangekuwa wanaelewa kuwa H/G anaweza kukupikia chakula pamoja na uchafu wowote anaotaka kukuwekea, na ukaja unakula bila ya kujua, wangekuwa wanawaeshimuNo..siyo kweli wanapata tu hata kama ukimlipa zaidi ya 30,000/- mifano tunayo..ila hii mada inamafundisho sana..ni kero kubwa kwenye nyumba zetu "wasichana vs Wake zetu" big issue
Ukijidai ku-solve unaweza kuharibu ndoa...so (kimyaaa)..sijui solution yake kwakweli...
..Kaitaba taratibu eh!? Hivi ukikuta aliyempa mimba ni mumeo (kama wewe kaitaba ni mwanamke) utakubali amuoe huyo binti na hatimaye kuwa mke mwenza mwenzio??Wewe unaona ukimrudisha kwao umemsaidia nini, kwa nini aliyempa mimba asipatikane akaozeshwa?
Kama ni baba mwenye mji (mme wa huyo mama) anahusika aozeshwe
Unakwenda kijijini unakuta familia masikini sana, hawana hata uwezo wa kupata mlo mmoja kutwa, kuwaonea huruma unachukua binti yao hadi kwako mjini akufanyie kazi za ndani, apate pesa awasaidie wazazi wake
Binti akiwa kwako anapata ujauzito, bila kujali ameupata wapi, wewe unamludisha kwao,
-Je! huu ni uungwana?
-Hauoni kuwa unaiongezea familia umasikini na mzigo wa kulea mimba na hatimaye mjukuu?
-hakuna njia nyingine ya kumsaidia huyu binti zaidi ya kumrudisha kwao?
-Je ukikuta mimba hiyo ni ya mwanao wa kiume? na wakati huo umeisha mrudisha kwao!
Sasa bibie kama unaboreka na hiyo hali umechukua hatua gani? umemwongezea au?hili sakata la kumrudisha ni sawa tu kwanini hajajitunza ? mie naboreka tu na kimshahara tunachowalipa wasichana wa kazi hiyo 15,000 au 20,000.00 hawawezi hata kujifanyia mahitaji yao binafsi
imagine mtu unaenda saloon unatumia more than 20,000.00 kwa siku moja harafu huyu binti kwa mwezi unampata 20,000.00
?
Unakwenda kijijini unakuta familia masikini sana, hawana hata uwezo wa kupata mlo mmoja kutwa, kuwaonea huruma unachukua binti yao hadi kwako mjini akufanyie kazi za ndani, apate pesa awasaidie wazazi wake
Binti akiwa kwako anapata ujauzito, bila kujali ameupata wapi, wewe unamludisha kwao,
-Je! huu ni uungwana?
-Hauoni kuwa unaiongezea familia umasikini na mzigo wa kulea mimba na hatimaye mjukuu?
-hakuna njia nyingine ya kumsaidia huyu binti zaidi ya kumrudisha kwao?
-Je ukikuta mimba hiyo ni ya mwanao wa kiume? na wakati huo umeisha mrudisha kwao!
Sasa bibie kama unaboreka na hiyo hali umechukua hatua gani? umemwongezea au?
..Kama mumeo ndio aliyemtia mimba nashauri amuoe ili akusaidie huenda jamaa amechoshwa na maharage yako ili utie akili umbadirishie menyu!!!!Wewe una maoni gani?
Mie mwenyewe ni house gal baada ya kazi za ofisi naanza majukumu ya home kama kawa
Hahaha safi sana house girl sasa wewe wanakulipa ngapi