Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

Tuseme sayansi ni uchawi wa kizungu uliowekwa wazi. Sayansi ya kiafrika haiwekwi wazi ndio maana tunaiita uchawi. Mf. Unapiga ukuta kwa matako na unafunguka, hiyo nguvu inafichwa. Unaondoka kwa ungo na kufika salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…