Katika kila Watanzania 10, tisa wamewahi kwenda kwa waganga hasa matatizo yakiwaelemea. Je, dini ni pambo?

Sio kweli, sisi wa mujini hatuendi kwa waganga.
Ungesema katika wanaume kumi Tisa wamewahi kupiga punyeto ningekuelewa.
 
Sio kweli, sisi wa mujini hatuendi kwa waganga.
Ungesema katika wanaume kumi Tisa wamewahi kupiga punyeto ningekuelewa.
Kaka kaka 😂.... usipotoshe vijana wa second floor wasije kuflow na hii. HAPANA SIO SAHIHI.
 
Dini gani au ni hizi za kuuza udongo maji mafuta na upuuzi mwingine kuwa unatibu Kila kitu hata ukata wa fedha?
Hao ndio wachawi haswa.
 
Hii stats haiko sahihi. Kuna mikoa hawaamini hizo mambo na mikoa mingine inaamini sqna. Question hapa je umetumia methods gani na idadi ipi umehoji?
 
Tatizo bongo Wachawi wengi ndumba Nyingi lazima tupambane na chawi kindumba ndumba tuu
 
Siku ukijua dini si kwenda makanisani na misikitini tu, hauta hoji tena kama ni pambo.
 
Ila hiyo percentage naona ni kubwa sana . Unajua maana ya 9 out of 10 ni 90% ina maana kwa ndugu zako tu mama yako au baba yako, ndgugu zako zaidi ya 6 wameenda, wajomba ,mashangazi wameenda . Ni kweli tuna wengi wameenda kwa waganga, tatizo ni hiyo asilimia. Ila ukitupatia reliable methodology ya asilimia hii, mimi nitaamini.
 
Hii nchi watu ni washirikina sana, Mshirikina yoyote ni mpinga maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…