Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Je vipi vilabu vyetu vya mpira na ushirikina? Au wameokoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa mkuu wengine nipale wanaposhtuka mguu au mkono. Wanachanjwa damu chafu itokePia wa Tz wakutosha wamechanjwa chale.
Kaka kaka 😂.... usipotoshe vijana wa second floor wasije kuflow na hii. HAPANA SIO SAHIHI.Sio kweli, sisi wa mujini hatuendi kwa waganga.
Ungesema katika wanaume kumi Tisa wamewahi kupiga punyeto ningekuelewa.
Damu chafu ipoje?Hahaa mkuu wengine nipale wanaposhtuka mguu au mkono. Wanachanjwa damu chafu itoke
Dini gani au ni hizi za kuuza udongo maji mafuta na upuuzi mwingine kuwa unatibu Kila kitu hata ukata wa fedha?Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga
wahalifu hasa wa kusafirisha magendo, wizi, utapeli hawa karibu wote wanaenda kwa waganga
Wengi wakiumwa hospitali zikishindwa kutibu watahangaika sana makanisani misikitini na hospitali za ziada lakini mwishowe huamini ni ushirikina, ndipo safari kwa waganga zinapoanza
wafanyabiashara wengi biashara zikianza kuyumba wapo vulnerable kuamini kuna mkono wa mtu, pia mambo ya ulinzi wa kuzindika, kuvutia wateja, n.k. waganga wanatafutwa sana
wanawake wanaotaka malimbwata, kuroga wenzao, kupata waume, kutafuta watoto, n.k. wapo sana huko
wanasiasa kipindi cha ubunge huwa wanafanya kuwe na foleni huko
mtu akiibiwa ama kutaka kulipa kisasi huyoo kwa mganga
wakulima wengi ni wateja wa waganga
Hii stats haiko sahihi. Kuna mikoa hawaamini hizo mambo na mikoa mingine inaamini sqna. Question hapa je umetumia methods gani na idadi ipi umehoji?Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga
wahalifu hasa wa kusafirisha magendo, wizi, utapeli hawa karibu wote wanaenda kwa waganga
Wengi wakiumwa hospitali zikishindwa kutibu watahangaika sana makanisani misikitini na hospitali za ziada lakini mwishowe huamini ni ushirikina, ndipo safari kwa waganga zinapoanza
wafanyabiashara wengi biashara zikianza kuyumba wapo vulnerable kuamini kuna mkono wa mtu, pia mambo ya ulinzi wa kuzindika, kuvutia wateja, n.k. waganga wanatafutwa sana
wanawake wanaotaka malimbwata, kuroga wenzao, kupata waume, kutafuta watoto, n.k. wapo sana huko
wanasiasa kipindi cha ubunge huwa wanafanya kuwe na foleni huko
mtu akiibiwa ama kutaka kulipa kisasi huyoo kwa mganga
wakulima wengi ni wateja wa waganga
Waganga hawaelemewi na wateja? Ratio ya waganga KWA wateja ikoje? Ili tuone kama tuko chini au juu ya wastani pendekezwawa
Waganga tupo wengi kuliko wateja.Waganga hawaelemewi na wateja? Ratio ya waganga KWA wateja ikoje? Ili tuone kama tuko chini au juu ya wastani pendekezwa
Umefika shinyanga wewe?Lengo lenu mtuseme watu wa pwani
Ila hiyo percentage naona ni kubwa sana . Unajua maana ya 9 out of 10 ni 90% ina maana kwa ndugu zako tu mama yako au baba yako, ndgugu zako zaidi ya 6 wameenda, wajomba ,mashangazi wameenda . Ni kweli tuna wengi wameenda kwa waganga, tatizo ni hiyo asilimia. Ila ukitupatia reliable methodology ya asilimia hii, mimi nitaamini.Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga