Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Mkuu usiwe Report Journalist, jaribu kuwa analytical.Wanabodi,
Naendelea na Makala maalum za Maadhimisho ya Miaka 30 ya TRA, hii ni taarifa ya TRA Wenyewe
View attachment 3621902View attachment 3621903View attachment 3621904
View attachment 3621928
View attachment 3621905
Niwatakie Jumamosi Njema.
Paskali.
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi , role kuu ya kwanza ya journalist is to inform, yaani kuhabarisha, kwa kuripoti, kisha kuelimisha na kuburudisha, hivyo hapa mimi kama mwandishi wa habari, nimetimiza wajibu wangu mkuu kikamilifu kwa kuripoti.Mkuu usiwe Report Journalist, jaribu kuwa analytical.
Na mimi ninayeliWanabodi,
Naendelea na Makala maalum za Maadhimisho ya Miaka 30 ya TRA, hii ni taarifa ya TRA Wenyewe
View attachment 3621902View attachment 3621903View attachment 3621904
View attachment 3621928
View attachment 3621905
Niwatakie Jumamosi Njema.
Paskali.
Mafanikio kwa upande wao, kwangu mimi wao ni waporaji tu. Kumlipia mwenye nyumba kodi ya jengo lake kwa kunitoza Kodi ya Zuio yaani Withholding Tax wakati mmiliki wa jengo yupo ni uporaji, ninalipia nyumba mbili wakati nina nyumba moja!Wanabodi,
Naendelea na Makala maalum za Maadhimisho ya Miaka 30 ya TRA, hii ni taarifa ya TRA Wenyewe
View attachment 3621902View attachment 3621903View attachment 3621904
View attachment 3621928
View attachment 3621905
Niwatakie Jumamosi Njema.
Paskali.
Mkuu mimi niko Large Taxpayer Unit(kama mlipa kodi), isingekuwa ubinadamu wa wafanyakazi wa TRA kibinafsi, kodi za nchi hii hazilipiki.Mkuu usiwe Report Journalist, jaribu kuwa analytical.
Kweli TRA ina kusanya fedha kwa ajili ya kuendesha serikali, lakini sheria za TRA ni nyingi sana na wakati mwingine zinakinzana.
Sisi tulio "ground" tunajua kuwa TRA imehusika na ukusanyaji haramu wa fedha za wafanya bisashara wengi, kwa kipindi cha Magufuli kilitumika kikosi maalum kikiitwa TASK FORCE.
Hapa watu waliibiwa moja kwa moja toka kwenye akaunti zao.
Hili leo bado lipo, na makusanyo si ya haki na kisheria bali kukamua mfayabiashara.
Pili, nawafahamu wafanya biashara waliokimbiza kampuni zao na kukumbilia nje ya nchi ili wasikamuliwe kihuni. Ulizia kimbembe cha makandarasi wa kijapani ambao hawana hamu hata kurudi nchini kutokana na kero ya kukamuliwa isivyo kihalali na TRA.
TRA ni dudu linalotumika na serikali kupata mapato, lakini wakati mwingine si mapato halali.