BADO MMOJA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 2,195
- 1,346
KWA AKILI YAKO NDOGO UNADHANI WANAOFURAHIA JAMBO HILO WANAEPUKIKA? HATA BABA YAKO AKIPATWA TATIZO KUNA WATU WATAFURAHI KAMWE DUNIANI HUWEZI KUWAFURAHISHA WATU WOTE YESU NA UBINGWA WAKE WAKUFUFUA MPAKA WALIOKUFA ALIAMBULIA KUTUNDIKWA MSALABANI NA WENGINE WENGI HATA KWENYE UKOO WAKO WAPO WATU WANAOMBA YAKUPATE MABAYA WAFURAHI HASA YULE SHANGAZI YAKO WA ............ UTAJAZIA MWENYEWESwali kwanini uzushiwe kifo? tujifunze kuishi vizuri na jamii, wakati Mandela anaumwa watu walikuwa wanalia nje ya hospitali wakimuombea na mwisho alifariki lakini jamii ilimpenda kupita kiasi na MUNGU akampenda zaidi.
Ina maana mbowe na mrema pia hawaishi vizuri na watu kwa kuwa mliwazushia kifo?Swali kwanini uzushiwe kifo? tujifunze kuishi vizuri na jamii, wakati Mandela anaumwa watu walikuwa wanalia nje ya hospitali wakimuombea na mwisho alifariki lakini jamii ilimpenda kupita kiasi na MUNGU akampenda zaidi.
Kuna mwingine wananchi wake wakifahamu Hospitali aliyolazwa wataweka hapo kambi huku wakishangilia na kusherehekea yeye kuumwa.Swali kwanini uzushiwe kifo? tujifunze kuishi vizuri na jamii, wakati Mandela anaumwa watu walikuwa wanalia nje ya hospitali wakimuombea na mwisho alifariki lakini jamii ilimpenda kupita kiasi na MUNGU akampenda zaidi.
Labda hao watu wapo huku tu mitandaoni ila sio huko uraiani.Kuna mwingine wananchi wake wakifahamu Hospitali aliyolazwa wataweka hapo kambi huku wakishangilia na kusherehekea yeye kuumwa.
Na ikitokea Mungu akampenda zaidi basi Wananchi wake watafanya Sherehe badala ya kuomboleza.
Tusimfananishe Mandela na watu Wa hovyo hovyo..
Makazi ya Rais ni Ikulu na ndiyo anafanyia kazi zake huko,sasa huko alipotoweka ni wapi Ikulu au?Ila saa ingine mazingira yanachangia kuzushiwa kifo.
Kama watu walizoea kukuona kila siku Kazini kwako halafu ghafla ukatoweka kwenda kusikojulikana bila taarifa yoyote watu wafanyeje Kama sio kuamini umekata Moto?
Lakini JPM yuko wapi? Tunataka kumwona hata akihojiwa runingani!!!Kama watu hawayaamini maneno bayana ya PM last Friday, hata Bulldozer akitoea leo kwenda kukagua miradi ya maendeleo kule ^Magomeni^ & ^Kariakoo^ still bado waleeee wazabizabina watasema siye, huenda ni mambo ya AI & robotiks 🙂 🙂 🙂 ^Dunia ina mambo^ ~ Sam Mangwana
Lini aliwahi kuhojiwa?Lakini JPM yuko wapi? Tunataka kumwona hata akihojiwa runingani!!!
Swali kwanini uzushiwe kifo? tujifunze kuishi vizuri na jamii, wakati Mandela anaumwa watu walikuwa wanalia nje ya hospitali wakimuombea na mwisho alifariki lakini jamii ilimpenda kupita kiasi na MUNGU akampenda zaidi.
Lakini JPM yuko wapi? Tunataka kumwona hata akihojiwa runingani!!!
Hee mie kipo kabatini. Ngoja nipone corona nikisome.Mkuu kitabu ninacho, nadhani mwaka huu mwezi wa nne au wa tano nitakimaliza chote kukisoma.
Tunahitaji kumwona raisi wetu. Tofautisha utu na vitu!Una nini cha kumhoji wakati Ubungo Interchange ^teyari;^ Magufuli Terminal Mbezi ^teyari^ In short Bulldozer hadaiwi kitu hata akiibuka 2042 wakati wa mwisho wa dunia, according to Humphrey Polepole Mwendokasi. Sijawahi kuona kiongozi ambaye amepiga kazi nzuri, nonstop kama Rais wetu. He is simply the best, utake usitake --- tutamlazimisha!!!
Tunahitaji kumwona. Ndiyo njia pekee ya kuzima tetesi.Lini aliwahi kuhojiwa?
Huwezi ukapendwa na kila mtu, Kama hata Mwenyezi Mungu Muumbaji wengine wanamkosoa sembuse kwa mja?Swali kwanini uzushiwe kifo? tujifunze kuishi vizuri na jamii, wakati Mandela anaumwa watu walikuwa wanalia nje ya hospitali wakimuombea na mwisho alifariki lakini jamii ilimpenda kupita kiasi na MUNGU akampenda zaidi.
Comment ya kipuuzi na kukosa ufahamu!Kuna mwingine wananchi wake wakifahamu Hospitali aliyolazwa wataweka hapo kambi huku wakishangilia na kusherehekea yeye kuumwa.
Na ikitokea Mungu akampenda zaidi basi Wananchi wake watafanya Sherehe badala ya kuomboleza.
Tusimfananishe Mandela na watu Wa hovyo hovyo..
Tetesi hazijaanza leo mkuu si mara ya kwanza Rais kuzushiwa jambo kama hilo,sasa hili la kutaka kiongozi mkuu wa nchi ajioneshe tu kwa sababu kuna uvumi umezushwa juu yake sidhani kama limekaa sawa. Waziri mkuu ameshasema rais yupo na ni mzima,sasa sijui kipi kinachowafanya watu waendelee kushikilia huu uzushi? Hakuna tukio ambalo alitakiwa ahudhurie ila hakutokea au kwamba imepita miezi hata miezi miwili bila kusikikaTunahitaji kumwona. Ndiyo njia pekee ya kuzima tetesi.
Tunahitaji kumwona raisi wetu. Tofautisha utu na vitu!
Hukuona watu pia walifurahia kusulubiwa kwa yesu na kufa kwake msalabani?Swali kwanini uzushiwe kifo? tujifunze kuishi vizuri na jamii, wakati Mandela anaumwa watu walikuwa wanalia nje ya hospitali wakimuombea na mwisho alifariki lakini jamii ilimpenda kupita kiasi na MUNGU akampenda zaidi.
Mimi nimecheka tuu hapo aliposema jamii inahisi inammiliki,haa haa alipokuwa anaomba kura alikuwa hajui kama anajimilikisha eeeh?Swali kwanini uzushiwe kifo? tujifunze kuishi vizuri na jamii, wakati Mandela anaumwa watu walikuwa wanalia nje ya hospitali wakimuombea na mwisho alifariki lakini jamii ilimpenda kupita kiasi na MUNGU akampenda zaidi.
Haa haa dah [emoji23][emoji1787]Kuna mwingine wananchi wake wakifahamu Hospitali aliyolazwa wataweka hapo kambi huku wakishangilia na kusherehekea yeye kuumwa.
Na ikitokea Mungu akampenda zaidi basi Wananchi wake watafanya Sherehe badala ya kuomboleza.
Tusimfananishe Mandela na watu Wa hovyo hovyo..