Katika kitabu chake cha "My life, My Purpose" Marehemu Mzee Mkapa alikiri kuzushiwa kifo akiwa madarakani

Katika kitabu chake cha "My life, My Purpose" Marehemu Mzee Mkapa alikiri kuzushiwa kifo akiwa madarakani

Haya mambo ya kuzushiana ugonjwa na vifo hayajaanza leo, yalikuwepo enzi na enzi. Kuzushiana vifo sio jambo geni katika Ulimwengu huu, kuna mlolongo wa matukio mengi ya watu mashuhuri na watu maarufu waliowahi kuzushiwa kuumwa au vifo.

Sababu mojawapo hutokana ama na siasa zenye chuki na uadui ama usiri wa taarifa pale ambapo wahusika wanaposhindwa kutoa taarifa sahihi kwa wakati.

Mfano wiki hizi mbili kumetokea taarifa kuwa MWENYEKITI WA CHADEMA NDUGU FREEMAN MBOWE na MKURUGENZI wa Habari na itikadi wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) kuwa wamefariki. Kwa vile ile ni taharuki na inagusa mioyo ya watu, wahusika walijitokeza na kuujulisha umma kuwa wao ni wazima wa afya.

Lakini hivi karibuni kumeibuka taarifa za alipo Rais wetu na afya yake ikoje, hizo tuziache.

Marehemu mzee Mkapa Rais wa awamu tatu nae alipata kuugua na kwenda kutibiwa nje, sasa chama chake cha Mapinduzi kilikataza serikali isitoe taarifa ya Mzee Mkapa kama ni mgonjwa hii ilipelekea taharuki kwa sababu ya usiri ule wa kuumwa kwake, hivyo wapinzani wakachukua advantage ile kuwa Mzee Mkapa amefariki.

Mzee Mkapa alitaka umma ujulishwe ila CCM chini ya Makamu Mwenyekiti Philip Mangula walikataa, kuzushiwa ugonjwa au kifo kunaweza tokana na sababu mbalimbali za kutaka ama kujitakia.

x​
Tuwaombee wagonjwa wale wote wanaumwa na wale wasioumwa waendelee kupata afya njema.

Jumapili njema ya leo.
jaman iyo sentensi perhaps .....
ndio ukkitafsir inaleta maana ya kuzushiwa kifo?
am not a native english speaker but i can comment on your translation.
Nyani Ngabu kindly asist us
 
KWA AKILI YAKO NDOGO UNADHANI WANAOFURAHIA JAMBO HILO WANAEPUKIKA? HATA BABA YAKO AKIPATWA TATIZO KUNA WATU WATAFURAHI KAMWE DUNIANI HUWEZI KUWAFURAHISHA WATU WOTE YESU NA UBINGWA WAKE WAKUFUFUA MPAKA WALIOKUFA ALIAMBULIA KUTUNDIKWA MSALABANI NA WENGINE WENGI HATA KWENYE UKOO WAKO WAPO WATU WANAOMBA YAKUPATE MABAYA WAFURAHI HASA YULE SHANGAZI YAKO WA ............ UTAJAZIA MWENY
Pumzika na bwashee kwanza
 
Tetesi hazijaanza leo mkuu si mara ya kwanza Rais kuzushiwa jambo kama hilo,sasa hili la kutaka kiongozi mkuu wa nchi ajioneshe tu kwa sababu kuna uvumi umezushwa juu yake sidhani kama limekaa sawa. Waziri mkuu ameshasema rais yupo na ni mzima,sasa sijui kipi kinachowafanya watu waendelee kushikilia huu uzushi? Hakuna tukio ambalo alitakiwa ahudhurie ila hakutokea au kwamba imepita miezi hata miezi miwili bila kusikika
Okay
 
Una nini cha kumhoji wakati Ubungo Interchange ^teyari;^ Magufuli Terminal Mbezi ^teyari^ In short Bulldozer hadaiwi kitu hata akiibuka 2042 wakati wa mwisho wa dunia, according to Humphrey Polepole Mwendokasi. Sijawahi kuona kiongozi ambaye amepiga kazi nzuri, nonstop kama Rais wetu. He is simply the best, utake usitake --- tutamlazimisha!!!
Sawa
 
Back
Top Bottom