Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hamna upendeleo wowote wa kidini kbs, wengine wanasoma zile program za online wakishapata vyeti wanatumia hvo vyeti kuomba kua interns huko na wanapata na wapo wengi sana waliofanya hv mfano waliosoma agronomy, animal science & BVMWanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.
Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy