Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Hamna upendeleo wowote wa kidini kbs, wengine wanasoma zile program za online wakishapata vyeti wanatumia hvo vyeti kuomba kua interns huko na wanapata na wapo wengi sana waliofanya hv mfano waliosoma agronomy, animal science & BVM
 
NDIO MAANA NAWAONA WAISLAMU WAJINGA...
PALE ALIPOKUFA DOGO MOLELL ETI WANAPAITA GAZA......
UJINGA WA WAISLAMU UNAONEKANA WAZI WAZI 🤣🤣🤣
Joshua Mollel katekwa akiwa Kibbutz Nahal Oz na Wayahudi wengine eneo lile zaidi ya 12 waliuwawa na wengine zaidi ya 20 walichukuliwa mateka.

Anatokea mpanda daladala anadai Joshua alikuwa Gaza.
 
Huko kunakoitwa Israel ni ardhi ya Wapalestina, hivyo ukienda huko ujue kabisa kuuawa ni haki yako.

Watu wanapambania ardhi yao alafu jitu linatoka huku kwenda kusoma huko au kufanya kazi huko....pumbavu
 
Hamna upendeleo wowote wa kidini kbs, wengine wanasoma zile program za online wakishapata vyeti wanatumia hvo vyeti kuomba kua interns huko na wanapata na wapo wengi sana waliofanya hv mfano waliosoma agronomy, animal science & BVM
Hakuna upendeleo ila wao hawataki kwenda, ndio maana nimesema wataendaje na hawajaomba sijasema wataendaje na hawahitajiki au hawachaguliwi.
Sometimes huwa wanashindwa na mazingira, kuna mmoja itikadi kali kaenda interview kakosa kwenda Marekani kisa kampuni anayoenda ya ufugaji pia inafuga nguruwe jimbo hilohilo analoomba kwenda. Sijui alikataa mwenyewe, ila Israel hawafugi nguruwe na mashamba yao wapo pia Wapalestina kibao na zaidi kwenye vibarua wa ujenzi Wayahudi hawapendi kuchomwa jua.

Kwa Waislamu wenye msimamo mkali hawawezi enda Israel wanaita nchi haramu. Haishtui kuona idadi ndogo au hawajaenda kabisa
 
Ardhi ya Wa-Israeli iko wapi??
Huko kunakoitwa Israel ni ardhi ya Wapalestina, hivyo ukienda huko ujue kabisa kuuawa ni haki yako.

Watu wanapambania ardhi yao alafu jitu linatoka huku kwenda kusoma huko au kufanya kazi huko....pumbavu
 
Joshua Mollel katekwa akiwa Kibbutz Nahal Oz na Wayahudi wengine eneo lile zaidi ya 12 waliuwawa na wengine zaidi ya 20 walichukuliwa mateka.

Anatokea mpanda daladala anadai Joshua alikuwa Gaza.
Wale waliokua wanapita kule pembeni nao imekuaje
Au wale walikua sio wazayuni wakachiwa tu kwaraha zao
Pole kwa familia ya mollel ila kwa hili mazayuni wanahusika
 
😂😂😂
Aisee jf Ina vichwa vibovu sijawahi ona eti pembeni wanapita raia wa Israel bila shida !!! kama huna uelewa na kitu Bora mtu ukae kimya la sivyo utaishia kujiaibisha tu
 
Taarifa zinaandikwa Kwa Kiswahili lkn bado unashindwa kusoma jitahidini kwenda shule itawasaidia...
Kama hujui mateka walikamatwa kwenye miji gani ndani ya Israel unawezaje kuandika comment kama hii? Kumbe hata huyu dogo hujui alikamatwa kwenye upi ndani ya Israel?
 
Waislamu kama hawataki kwenda kujifunza kilimo Israel wawaombe serikali za kiislamu za kiarabu ziwafunze kilimo Cha tende ili wakirudi wajiajiri.kulima tende ili nchi ijitosheleze Kwa tende hasa mwezi wa Ramadhani tuache kutegemea misaada ya tende za kufuturu Toka uarabuni

Misaada hii ya tende mwezi wa Ramadhani nizo zinawatoa akili wengine humu kutwa kusifia waarabu wa Hamas ili wasikose mgao wa tende mwezi wa Ramadhani
 
Tatizo la waislamu ni ujinga wa akili....
Ona hoja aliyoleta mtoa uzi....
 
Mimi ni muislam na nishafika israel,wafia dini wa kiafrika tena wa dini zote 2 wapo wrong 100% kwa jinsi wanaichukulia israel kwenye masuala ya dini ya zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…