endelea kuunadi, yakitokea ya papa huko kwenye dini usishangaeMbona umetokwa na povu lote ndugu mchangiaji
Sijasema kuhusiana na dini wala nini mbona
Ila kweli dini zipo nyingi kama usemavyo ila dini ya kweli na uhakika ni uislam ukiupenda ama ukiuchukia ila huu ndio ukweli
Kilimo na ukomando wapi na wapi. Huyo ni mwanafunzi WA chuo cha Kilimo. Na gaza walijenga ukuta kujitenga nao maana huko wanaongoza hamas pekee.unaota ujinga, je kama alikuwa gaza kujifunza ukomando/warfare/medani za kivita cha kushangaza ni nini wakati gaza imegeuka kuwa war field? Muache mawazo ya kijinga
ukomando mafunzo yake ni kufa na kupona kwa kujiingiza sehemu hatari kwenda kushambulia au kuokoa. Hata mi mkulima wa msambu unaweza kunikuta sehemu hatari usishangae najifunza medani hukoKilimo na ukomando wapi na wapi. Huyo ni mwanafunzi WA chuo cha Kilimo. Na gaza walijenga ukuta kujitenga nao maana huko wanaongoza hamas pekee.
Haya maneno tangu 1970s huko, scholarship za france,uk,scotland nk apate muislam!?Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.
Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
Hivi katika hali ya kawaida, unahisi Mwislamu na Mkristo wakipewa chaguo la kwenda Israel au Saud Arabia, wataenda wapi? Hii dunia imetawaliwa na propaganda ambazo zilishaharibu fikra za watu, hivyo bila hata kushawishiwa, Mkristo atapenda kwenda Israel kwa sababu atajiona kuwa huru, hivyo hivyo Mwislamu naye atajiona kuwa huru kwenda Saud Arabia.Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.
Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu. Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.
Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
Nimeuliza swali wawaue kwakosa ganiOngezea na Waislamu wenzao.
Sasa mbona unauliza kwanini wapita njia hawajauwawa.
Na kumbe wanaotakiwa kuuwawa ni Waafrika na wasio Waislamu.