Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Ukitaka kuwa majnun hebu wasikilize watu wa aina yako, Wewe ni zao la wazazi walioshindwa malezi madhara yake ndio wametujazia hizi takataka hapa
nchini. Naamini katika mizigo kwenye familia yenu wewe ni miongoni mwao.
hoja ya mleta mada unaiunga mkono ? tuanzie hapo ili tujue akili zako pia
 
Kwahiyo mtu anayepigwa tangu mwaka 1948 mpaka leo bado hajakoma? Mmebeba mifuvu tu ya kufugia nywele hata hamtaki kujifunza.
Tangu hao watu wavamie hilo eneo mbona hawajashinda hiyo vita na kuwafuta hao kina HAMAS? Rudi hata kwenye mafunzo ya kipaimara utajua vizur haya mengine hujui ndio maana akili zako ndogo zinakutuma kujiua tu.
kwan ana huanza mshambulia mwenzake? je kwann unataka anaeshambuliwa ndo ashinde vita ?
 
Yule dogo eti anasema Israel chuo then anaonekana GAZA ambako Hakuna chuo wala collage ni kama open air prison. What was he doing there???
Hamas lazima eneo Lao walitreat kama eneo LA vita so anyone haelewi tena foreigner lazima watakudhuru tu.
Kuna kitu zaidi kinafichwa kuhusu huyu dogo. Mimi nazani alikuwa 007 alitumwa maana Israel hawataki ndugu zao wafe kizembe so wanawatumia sana Africans hasa Ethiopians kama 007...ni mawazo yangu tu ya mbali nikiwa naota
Na huwa wanawapa dawa za kutozaa ili wasichafue damu zao
 
Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.

Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.

Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu. Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.

Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
Ni kweli una hoja nzito ila na mimi ninalo la kuchangia.
1.Sio kweli ile list yote hakuna Muislamu hata mmoja. Hapa mtaaani kwetu nina ushahidi wa vijana kama 3 walioko Israel mpka leo katika kundi lililoenda mwaaka huu.

2.Nazani serikali ijatoa ufafanuzi vizuri juu ya hawa vijana kuwa wameenda kusoma kilimo katika vyuo nchini Israel, ila ni kwamba wale vijana wameenda kufanya Internship yao baada ya kumaliza masomo chuo cha SUA.

3.Utaratibu huu wa vijana waliosoma masuala ya kilimo kwenda kufanya internship nje ya nchi haujaanza leo wala juzi, upo na hata ukiuliza wanafunzi wa pale SUA watakupa utaratibu kuwa fursa hizi za internship huwa zinatolewa kutoka nchi mbalimbali kama Israel, Denmark na Marekani, ambapo wanafunzi wanaapply kuchagua sehemu wanazopenda wao kwenda japo kuwa wengi huchagua zaidi Israel kutokana na uwezekano wa kupata nafasi huwa ni mkubwa zaidi. Baada ya kupata hupelekwa sehemu za mashambani ili kujifunza kwa vitendo zaidi kulingana na kozi yake aliyosoma na hugawanywa kwenye miji mbalimbali katika nchi husika wanazoenda.

4.Hakuna kigezo cha dini wakati wa ku applly hizi fursa bali ni vile mwanafunzi aalivyoweka jihudi kuandika maombi yawe bora zaidi ili achaguliwe.

NI HAYO TU, NIPO TAYARI KUREKEBISHWA NILIPOKOSEA
 
mnapambana kuhararisha kifo cha mtz mwenzio , wajukuu wakija yaona haya watalia sana , babu zao wavaa kanzu walikuwa wajinga sana
Huu utetezi wa kidini ni utumwa kama utumwa mwingine
 
Tupewe orodha ya majina yao wote walioenda kusoma israeli lakini majina tu haitoshi tupate na uthibitisho wa dini zao. Umeongea kitu cha msingi sana serikali zetu za kiafrika tunafanya mambo kienyeji hatujui kumbe tupo vitani. Huu ni mgogoro wa kidiplomasia.
Tanzania hatuulizani dini uingiapo chuoni, kazini au katika uongozi.

Ninyi ni mamluki Si Watanzania.
 
Endeleeni kutetea upuuzi wa mabwana zenu waarabu wenye siasa kali, muda utafika watu watawafanya mnayoyafanya kwa waumini wa dini nyingine, yaani watu wamewaua watanzania wenzenu mnaleta speculations za kuwasafisha wauaji.
 
Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.

Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
Hata Israel mkuu Waislamu wanaenda kibao tu.
Nawajua wengi maana Kuna namna imepitia kwenye circle yangu.

Tatizo kubwa wabongo ni watu wasiopenda kujishuhulisha zaidi ya umbeya,usengenyaji na kutetea mambo ya kijingajinga ilimradi tu apate likes au siku ziende.

Naweza kutuma PDF hapa ya waliokwenda mwaka Jana uone ushamba wa huyu Jamaa na genge lake hapa jukwaani.
 
Mimi ni muislam na nishafika israel,wafia dini wa kiafrika tena wa dini zote 2 wapo wrong 100% kwa jinsi wanaichukulia israel kwenye masuala ya dini ya zao
Wengine hawajui hata kwamba kwamba Israel waislamu ni wengi zaidi kuliko Christians.

Wakristo ni kama 2% ya population yote huku Waislamu ni kama 18%.Kwahiyo hawakua na uhasama kiivyo na Waislamu maana wanachangamana nao sana kule kwao.

LABDA BAADA YA HII KADHIA WALIYOWASABABISHIA SASA WATAANZA KUWA NAO MAKINI.
 
Wengine hawajui hata kwamba kwamba Israel waislamu ni wengi zaidi kuliko Christians.

Wakristo ni kama 2% ya population yote huku Waislamu ni kama 18%.Kwahiyo hawakua na uhasama kiivyo na Waislamu maana wanachangamana nao sana kule kwao.

LABDA BAADA YA HII KADHIA WALIYOWASABABISHIA SASA WATAANZA KUWA NAO MAKINI.
Israel uislam ndio dini inayofuata baada ya jewish,na uislam na jewish zinafanana 90%,waafrika tunavyoifikiria israel kwenye suala la kidini tofauti kabisa
 
mnapambana kuhararisha kifo cha mtz mwenzio , wajukuu wakija yaona haya watalia sana , babu zao wavaa kanzu walikuwa wajinga sana

Hivi wewe, nani anahalalisha mauwaji yake? Una ushahidi wowote unaonyesha kama ni hamas wamemuuwa?

Pili- kama alikua anatumika kijeshi au mbinu yoyote ya kumsaidia kafiri kuuwa waislamu basi ni halali kuuawa. Sijui kama umenielewa!
 
Wanaoenda Israel hawachaguliwi kwa lazima, wanachaguliwa baada ya maombi kutumwa wakiwa na vigezo wanachujwa. Sijawahi ona Mwislamu anafanya maombi kwenda Israel sasa watachaguliwa vipi wakati hawataki.

Au iletwe list ya walioenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia tutafute majina ya Martha na Suzy
Ukisikia sehemu kuna uchaguzi Tanzania ujue hapo ni kudhulumiana na kuibiana basi.
Hali hiyo ipo kwenye chaguzi za kitaifa mpaka za vyuoni.Kwani waislamu hawaombi kwenye vyuo vikuu vya wakristo mbona hawachaguliwi mpaka waishiwe na watu na bajeti zikae songombingo.
Zamani wakati wa kabla ya waziri wa elimu Kigoma Malima uchaguzi wa wanafunzi ulifanywa kibaguzi kwa hali ya juu sana kwa kuangalia majino yao tu,
Kwenda Israel kama kweli kuna neema hawachaguliwi waislamu na kama kuna ajenda za kijeshi pia hawachaguliwi.
 
Nilidhani umeiona orodha, kumbe hujui na unaleta stori za kudhanika na kusadikika.
WaTz kusoma kilimo Israel hawajaanza leo wala Jana. Nna bro alisoma Irrigation SUA l akaenda Israel miaka ya 2016 huko kusoma green houses akamaliza...saiv yupo USA anapiga mpunga. Na ni mwislam
Si ni nyinyi kwa nyinyi
 
Huyo alikutwa camp ya jeshi na mpa mda hu siamini kauliwa na Hamasi, askari wa Hamasi hawauwi mateka hata siku moja.

Siku za mbele mtasikia Israel ndio alimuwa wala si Hamasi.

Afu mtoa mada unapoint vipi wale wote wakristo ndio wamenda kosemeshwa Israel, kama hakuna siri hapo nyuma ya pazia inatakiwa serekali ifatilie na ichunguze nani aliye watuma kusoma huko? Je ni serekali au wenyewe? Kama wenyewe hao lazima walitumwa kujiunga na jeshi la Israel.

Naomba serekali ya Tanzania ifatilie hi point ni muhimu sana, na mtoa mada wewe akili zako ni 💯
Kuna vitu vidogo serikali haikai kimya anakuja waziri anatoa takwimu na kuweka sawa mambo.
Nakumbuka mwishoni mwa mwaka au mwanzoni mwa mwaka huu yule msichana aliyesema kaibiwa nafasi yake ya kujiunga na kidato cha mwanzo.
imekuwaje hili la watanzania kufa Israel serikali haijaona umuhimu kulitolea ufafanuzi na kuzima minong'ono.
 
Ukisikia sehemu kuna uchaguzi Tanzania ujue hapo ni kudhulumiana na kuibiana basi.
Kama mtu ni kilaza unataka aende kwenye exchange program kufanya nini.
Hali hiyo ipo kwenye chaguzi za kitaifa mpaka za vyuoni.Kwani waislamu hawaombi kwenye vyuo vikuu vya wakristo mbona hawachaguliwi mpaka waishiwe na watu na bajeti zikae songombingo.
Umemaanisha nini hapa. Unaweza fafanua
Zamani wakati wa kabla ya waziri wa elimu Kigoma Malima uchaguzi wa wanafunzi ulifanywa kibaguzi kwa hali ya juu sana kwa kuangalia majino yao tu
Wewe hapo ukipewa nafasi ya kwenda Israel na serikali yao, kufanya kibarua au kazi utaenda?
Kwenda Israel kama kweli kuna neema hawachaguliwi waislamu na kama kuna ajenda za kijeshi pia hawachaguliwi.
Tulete list ya walioenda Israel mwaka jana tuone kama hamna Waislamu?
 
Back
Top Bottom