Huyo alikutwa camp ya jeshi na mpa mda hu siamini kauliwa na Hamasi, askari wa Hamasi hawauwi mateka hata siku moja.
Siku za mbele mtasikia Israel ndio alimuwa wala si Hamasi.
Afu mtoa mada unapoint vipi wale wote wakristo ndio wamenda kosemeshwa Israel, kama hakuna siri hapo nyuma ya pazia inatakiwa serekali ifatilie na ichunguze nani aliye watuma kusoma huko? Je ni serekali au wenyewe? Kama wenyewe hao lazima walitumwa kujiunga na jeshi la Israel.
Naomba serekali ya Tanzania ifatilie hi point ni muhimu sana, na mtoa mada wewe akili zako ni 💯