Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Makafiri bwana
Uzi zingine za ajabu sana,au shule hazijafunguliwa?Inasemekana , Kuna Orodha imeshaandaliwa ya Wafalme mbalimbali wa Bara la Giza walokwisha kupokea Michuzi ya TZ shillings ambao watafanya Ziara hapo Malawi , yote kwa Yote, Kumpa Uhalali wa Utawala ,Malikia aliyeua ili kua Malikia.
Malawi ya Lilongwe?Inasemekana , Kuna Orodha imeshaandaliwa ya Wafalme mbalimbali wa Bara la Giza walokwisha kupokea Michuzi ya TZ shillings ambao watafanya Ziara hapo Malawi , yote kwa Yote, Kumpa Uhalali wa Utawala ,Malikia aliyeua ili kua Malikia.
Makafiri bwana
Porojo zingine
Tz ihonge Farao?
Post kama hizi muwe mnawaokota watu facebook.
Hatuipendi CCM lakini si kwa uongo wa kiduwanzi namna hii.
Uzi zingine za ajabu sana,au shule hazijafunguliwa?
Yaani hizi ndo mbinu za kuwaingiza tecdema madarakani?
Out of time
Ooops
Si ajabu wenzako wanakuita "Great Thinker" wa JF! Ahahahahaha!!Inasemekana , Kuna Orodha imeshaandaliwa ya Wafalme mbalimbali wa Bara la Giza walokwisha kupokea Michuzi ya TZ shillings ambao watafanya Ziara hapo Malawi , yote kwa Yote, Kumpa Uhalali wa Utawala ,Malikia aliyeua ili kua Malikia.
πππPorojo zingine
Tz ihonge Farao?
Post kama hizi muwe mnawaokota watu facebook.
Hatuipendi CCM lakini si kwa uongo wa kiduwanzi namna hii.