King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Umenikumbusha Mzee Zahir Ally Zorro Cleopatra.Inasemekana , Kuna Orodha imeshaandaliwa ya Wafalme mbalimbali wa Bara la Giza walokwisha kupokea Michuzi ya TZ shillings ambao watafanya Ziara hapo Malawi , yote kwa Yote, Kumpa Uhalali wa Utawala ,Malikia aliyeua ili kua Malikia.