Katika mahojiano ya masaa 4 clounds FM/TV Mbowe hajakemea CCM popote au viongozi wake au Utawala wake hiyo inatupa taswira gani?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea wapizani wake wa ndani.

Rushwa ya Abdul, anaomba mwenye ushahidi aupeleke kwenye kamati ya chama jambo ambalo ni gumu rushwa inatolewa kisirisiri, hapo nimeelewa mbowe anagombea kwa masirahi ya nani?
 
Wandishi wetu ni wepesi sana wana maswali mepesi sana

Ilibidi aulizwe, wakati wote ule mlipokua mnashutumu mafisadi ndani ya CCM na serikali yake Mliwai kupeleka ushahidi wowote?
Kumbe kwake kupeleka ushahidi ni selective yeye hajawahi kupeleka ila yeye anataka apewe ushahidi wa rushwa.
 
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea wapizani wake wa ndani.

Rushwa ya Abdul, anaomba mwenye ushahidi aupeleke kwenye kamati ya chama jambo ambalo ni gumu rushwa inatolewa kisirisiri, hapo nimeelewa mbowe anagombea kwa masirahi ya nani?
Alikuwa anajibu maswali anayoulizwa.Maswali mengi yalihusiana na uchaguzi wa chama.
 
Aisee Siasa zetu zina shida sana .

Watanzania wengi wanafuata trend na hawafikiri hata kidogo.

Uongozi wa ndani ya Chadema unataka azungumze kama anagombea urais au Ubunge?

Nadhan hii agenda ya kumchomoa Mbowe imepikwa na matobo mengi sana.
 
Alikuwa anajibu maswali anayoulizwa.Maswali mengi yalihusiana na uchaguzi wa chama.
Kwani kwenye masuali yote hakuna lenye jibu ambalo linahusiana na wizi wa kura wa ccm na ufisadi, au aliogopa kuharibu asali yake.
 
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea wapizani wake wa ndani.

Rushwa ya Abdul, anaomba mwenye ushahidi aupeleke kwenye kamati ya chama jambo ambalo ni gumu rushwa inatolewa kisirisiri, hapo nimeelewa mbowe anagombea kwa masirahi ya nani?
Mbowe sio mpinzani fuatilia
 
Mnataka kumpangia cha kuongea?
Akinywa maji mnasema kwanini hajanywa sharubati, akinywa sharubati mnataka kuuliza kwanini hajanywa mlonge longe!
Shetani alikuwa malaika.
 
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea wapizani wake wa ndani.

Rushwa ya Abdul, anaomba mwenye ushahidi aupeleke kwenye kamati ya chama jambo ambalo ni gumu rushwa inatolewa kisirisiri, hapo nimeelewa mbowe anagombea kwa masirahi ya nani?
Sijaelewa namna ulivyoandika.Panga maneno vizuri sijui ulitaka kutuma ujumbe gani
 
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea wapizani wake wa ndani.

Rushwa ya Abdul, anaomba mwenye ushahidi aupeleke kwenye kamati ya chama jambo ambalo ni gumu rushwa inatolewa kisirisiri, hapo nimeelewa mbowe anagombea kwa masirahi ya nani?
Anashindana na vibaraka kwenye chama chake au CCM?

View: https://www.instagram.com/p/DEo8sjINOFn/?igsh=YXlybXNiNXN5NGl4
 
Wandishi wetu ni wepesi sana wana maswali mepesi sana

Ilibidi aulizwe, wakati wote ule mlipokua mnashutumu mafisadi ndani ya CCM na serikali yake Mliwai kupeleka ushahidi wowote?
At least Charles William wa wasafi media alimuuliza WENJE maswali MAGUMU MAGUMU...

Mbowe aende akahojiane na CHARLES WILLIAM a.k.a "SHAHIDI WA JAMHURI"
 
Mbowe sio mpinzani fuatilia
Ni kweli Mbowe amewekeza sanaa kwenye maridhiano na chama tawala sio siasa za ushindani tena, ccm haiwezi kukupa utawala on slaverplate Ccm is too cunning kuschia madaraka kwa maridhiano. Mbowe anajindaganya kabisa apishe watu wengine wenye ushawishi wa ongoze chama.
 
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea wapizani wake wa ndani.

Rushwa ya Abdul, anaomba mwenye ushahidi aupeleke kwenye kamati ya chama jambo ambalo ni gumu rushwa inatolewa kisirisiri, hapo nimeelewa mbowe anagombea kwa masirahi ya nani?
CCM wanamdai wewe mtu anaekudai unaweza ukabishana nae? Umekopa bank Pesa za kutosha unaweza ukabishana na bank? Si watauza mpaka kile ulichonacho ubakie mapumbu tu
 
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea wapizani wake wa ndani.

Rushwa ya Abdul, anaomba mwenye ushahidi aupeleke kwenye kamati ya chama jambo ambalo ni gumu rushwa inatolewa kisirisiri, hapo nimeelewa mbowe anagombea kwa masirahi ya nani?
jibu ndio hilo, ashinde tu ijulikane CHADEMA ni tawi CCM
 
Wandishi wetu ni wepesi sana wana maswali mepesi sana

Ilibidi aulizwe, wakati wote ule mlipokua mnashutumu mafisadi ndani ya CCM na serikali yake Mliwai kupeleka ushahidi wowote?
Basi utakuwa umesahau ile list ya mafisadi papa iliyosomwa hadharani, walikuwa twenty something
 
Back
Top Bottom