Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐ Kishingo upande๐๐๐Sio hivyo bana acha kuongea ujinga, ilikuwa ni issue ya kuhusu ban.
Unajipigia debe mazee....๐คฃ
Kuwadi ni yule anaetongozea watu kwa kuwa yeye mwenyewe mambo hayawezi.Kuwadi ndio nini? Nakuja pm nimekuta message yako dear
Tukiunganisha ganji Kwa mwezi hatukosi kiwanja kibugumo๐๐๐ Utawezana kijana??
Bora tubebabane wenyewe mawinga
๐๐๐ Hebu na wewe shangaa.!!Yani kuna mtu unarandishwa nae hadi unamuonea huruma๐
Sasa mimi mkorofi utaniweza winga? ๐๐๐Tukiunganisha ganji Kwa mwezi hatukosi kiwanja kibugumo
Hahahahaha...aisee huyo dada ako sijui aisee yuko wapi ..ooh kumbe ni wewe hope uko poa RafikiDada yangu Joannah bana ๐๐๐
Mimi Lamomy
Hatari sana ujue....kazi ipo๐๐๐Shemeji anataka kuzima taa kichupa kimejaa ๐๐๐
Mkuu anayekufaa mwanamke wa mithali ๐๐๐ ili muanzishege kwaya ya familiaHamna Mkuu
Yani machakaramu yamejaa tele humu hebu waturandanishe vizuri๐๐๐ Hebu na wewe shangaa.!!
Min me alivyo mpole vile mie wa kurandishwa naye kweli??
Vichaa wote waliojaa jf hawajawaona wanipe mpk min
๐๐๐ niko poa, ngoja nimpigie simu kitambo sijamuona.!!Hahahahaha...aisee huyo dada ako sijui aisee yuko wapi ..ooh kumbe ni wewe hope uko poa Rafiki
Wapenda Nyashi na Mitwangio kimeumana๐๐๐Yani machakaramu yamejaa tele humu hebu waturandanishe vizuri
๐๐๐ Huyo alikukuwadia huku anakumezea mate.!!Hatari sana ujue....kazi ipo๐๐๐
Tunazungumzia mwandiko! Wewe hayo mawazo yako yakemeweWapenda Nyashi na Mitwangio kimeumana๐๐๐
Hahahahaha una hadi namba yake kweli huyo dada ako๐๐๐ niko poa, ngoja nimpigie simu kitambo sijamuona.!!
Ndio hivo, yeye aje tu front, tuongee kiutu uzima.๐๐๐ Huyo alikukuwadia huku anakumezea mate.!!