Nchi ngumu sana hii πΉπΉπΉ
Kuna mademu wako serious mpaka mwamba unaweza ghairiπππBalqior babe, ulisema utaninyonya nini vile, come to me honey
Naona Mzee wa kupambania bado anaogaπ
Hapo Bado hujaona ngoja SoC ichanganyie π€£π€£Kwa siku pm 5 au 6 hukosiSijafunga kulikuwa na group la rambirambi nilikuwa naendesha, sema ndio najionea mauzauza na vituko huko pm πππ
Kuna waungwana watanipofua macho vitu wanavyonirushia wallahi πΉ
Kuwadi mende π Mzee wa kupambaniaHahahaa kuwadi naye ameanza kukutamani
Sisi ni zilipendwa kwa sasaπ€£π€£π€£Hahahahaha...hakina makali siku hz ,Gen Z wametake over
Hahahaha, kichwa kinawaka moto hiki, huwa nakiweka speed governor kupunguza mwendoBusara zako siziwezi mimi akuu, kuna chizi namuwaza ila anakuja anakataa nikimkumbuka nitamtag
Hapa nilipo nishazidiwa kusoma nyingine sifungui najionea kichefuchefu πΉπΉπΉHapo Bado hujaona ngoja SoC ichanganyie π€£π€£Kwa siku pm 5 au 6 hukosi
Wamenikabidhi wewe sasa utakoma πππ
πππSijafunga kulikuwa na group la rambirambi nilikuwa naendesha, sema ndio najionea mauzauza na vituko huko pm πππ
Kuna waungwana watanipofua macho vitu wanavyonirushia wallahi πΉ
Ndiyo nadhani ule mwandiko wa kwakeIla inaanzia na mshamba pia e?
Boss nmekumisHahahahaha, nimekaa pembeni na uzee huu kutoana ngeu sitaki
Ndiyo nadhani ule mwandiko wa kwake
Naonaga muda wote uko kwenye mstari km pastor, lakini kuna vichwa vimechemka humu unatamani uwe na maji karibu uumwagieHahahaha, kichwa kinawaka moto hiki, huwa nakiweka speed governor kupunguza mwendo
Ni wakati wake. Jf inawatu kwa kila nyakati. Walikuwepo na watakuja. Kwa Sasa ni huyo na somebody Nyafwii kama sikosei.Ephen anaonesha ana nyota kali na wanaume.
Wifi kuna pipo zimepinda sijawahi kuona aiseee ππππππ
πππ Nimekuonea had huruma
Mambo vipi, RafikiBoss nmekumis