Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
😁Warangi wanaitana ndugu ila ukitoka tu wao wanapigana miunoSasa nisimjue mdogo wangu hata kwa uchache bwashemeji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁Warangi wanaitana ndugu ila ukitoka tu wao wanapigana miunoSasa nisimjue mdogo wangu hata kwa uchache bwashemeji?
Sisi udugu wetu sio wa hivyo😁Warangi wanaitana ndugu ila ukitoka tu wao wanapigana miuno
Nidanganyeni ila najua saiv mpo pamojaSisi udugu wetu sio wa hivyo
Natoweka humu soon usijeona kimya wote ukaunganisha dots, huyo n mdogo wangu.Nidanganyeni ila najua saiv mpo pamoja
Ngoja niwashe jiko langu la Kuni hapa, maana baridi la leo huku Kijijini ni hatari 😜🙌Koka moto babu 😅
Mtoto mzuri hatakiwi kufanywa simpo machineHuyo kaanza kutumia Gillette kabla ya 2015 afu aje hajui anakuja kufanyaje?
Hivi mimi na cacutee hujaona pendo letu.?!Salaaam
Ngoja⁵ tuwaweke kwa style zao. Sio lazima wawe wapenzi hata urafiki wa kawaida.
smart na mahondow
Pdidy na unique flower🤣
Heriel na donatila
Chaliiifrancisco na ephen
Mshana na faiza 😅
Mrangi na niffer
Bichwa na cocaaa🤣
Mshamba achekwi & Depal
raraa reee na Numbisa
Deep pond na Kapeace
Lucas mwashambwa & Jane Lowassa🤣
Half america na leejay
Shimba buyenze & Bantu lady
Controla & Rubby
Mad max &Cute wife.
Extrovert & dada hornet.
List ni ndefu nakuja kumalizia.....au nyie endeleeni....
Akipinga aje.!Ngoja aje 🤩
Mwanzoni ulikua unashangaa inakuwaje watu wanapendana humu wakati hawajuani!Mkuu kama ni online bas yupo nkiona tu kalike bas naondoka kimya kimya kwenye huo Uzi naangalia anavointeract na wadau mi nakua nashusha pumzi😁Sina namna
Hahahahaha...na wana wivu huku hawajuani..dahMwanzoni ulikua unashangaa inakuwaje watu wanapendana humu wakati hawajuani!
Sasa hivi ushaona inakuaje😂
Wewe na min -me
Ni vizuri familia tukiwepo...Hata sasa nipo mkuu
😁😁Mwanzoni ulikua unashangaa inakuwaje watu wanapendana humu wakati hawajuani!
Sasa hivi ushaona inakuaje😂
Wewe na min -me
Hamjaaamka bado😁😁Natoweka humu soon usijeona kimya wote ukaunganisha dots, huyo n mdogo wangu.
Kujuana inakuja baada ya kuwa karibu then mnaenda kuonana😁😁
Wewe nani kakwambia watu humu hawajuani? Labda ww ndo huwajui