Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
labda ungo,,yote yapo njiani yashaondoka standNjoo saiv magari ya usiku yapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda ungo,,yote yapo njiani yashaondoka standNjoo saiv magari ya usiku yapo
Kwamba huoni anasemaje? Acha ukorofikwani yeye anasemaje
Tumshukuru MunguNitasoma kama ilivyo andikwa
16, Furahini wakati wote, 17 ombeni pasipo kukoma, 18 shukuruni katika kila hali; kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu mkiwa ndani ya Kristo Yesu.
Hilo ndilo neno la Bwana.
Leo katupunja andiko Kuna kipindi almanusura niswage ng'ombe wa mahari kila andiko ni mwendo wa 🔗 🔐🔐👪Nitasoma kama ilivyo andikwa
16, Furahini wakati wote, 17 ombeni pasipo kukoma, 18 shukuruni katika kila hali; kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu mkiwa ndani ya Kristo Yesu.
Hilo ndilo neno la Bwana.
sioni,, nionyeshe basKwamba huoni anasemaje? Acha ukorofi
Mshukuru Mungu kwa huyo piaTumshukuru Mungu
Atakuonesha Mpaji Mungusioni,, nionyeshe bas
Amefundwa huyo binti ana hofu ya Mungu.Leo katupunja andiko Kuna kipindi almanusura niswage ng'ombe wa mahari kila andiko ni mwendo wa 🔗 🔐🔐👪
Nilale sasa 😂🙌🏾🏃🏾♀️Mshukuru Mungu kwa huyo pia
Mlale salama na mwenzioNilale sasa 😂🙌🏾🏃🏾♀️
Ghai,, usiku mwemaMlale salama na mwenzio
Ujawai kuaga muda huuGhai,, usiku mwema
😁😁Amefundwa huyo binti ana hofu ya Mungu.
Sasa nisimjue mdogo wangu hata kwa uchache bwashemeji?😁😁
Nimestuka huenda nyie mmeshamaliza kazi mliyotumwa na Mungu baba......mbona kama mnajuana hv
Ukilewa usichatiMpaji Mungu Half american ,,siku nikilewa nitawafata pm mm mwenyewe 😂😂🙌🏾
Kuna nn kimwana mpaka uje pmMpaji Mungu Half american ,,siku nikilewa nitawafata pm mm mwenyewe 😂😂🙌🏾