Katika mahusiano na urafiki hata hapa JF kuna list ya watu wanarandana

Katika mahusiano na urafiki hata hapa JF kuna list ya watu wanarandana

Nitasoma kama ilivyo andikwa

16, Furahini wakati wote, 17 ombeni pasipo kukoma, 18 shukuruni katika kila hali; kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu mkiwa ndani ya Kristo Yesu.

Hilo ndilo neno la Bwana.
Leo katupunja andiko Kuna kipindi almanusura niswage ng'ombe wa mahari kila andiko ni mwendo wa 🔗 🔐🔐👪
 
Back
Top Bottom