Katika mahusiano na urafiki hata hapa JF kuna list ya watu wanarandana

Katika mahusiano na urafiki hata hapa JF kuna list ya watu wanarandana

Sipendi mtu areply viemoj bila maneno
Hii taarifa imfikie na min -me
Mnajaza servers za jf, kama ni emoj ishia pale kwenye kureact 🤩😟🤣😡
Huu ujumbe ni wa min -me

Kuna mdada nlikuwa close kwenye masuala flan ya kikazi karibia miezi mitatu lkn hatukupeana no za simu, siku tumepeana no jioni akantumia "usiku mwema" mi nikajibu "🙏🙏🙏"
 
Huu ujumbe ni wa min -me

Kuna mdada nlikuwa close kwenye masuala flan ya kikazi karibia miezi mitatu lkn hatukupeana no za simu, siku tumepeana no jioni akantumia "usiku mwema" mi nikajibu "🙏🙏🙏"
Mtu akireply emoj najiongeza kua hataki kuongea na mimi
Kwahiyo ulivyotumiwa Salamu ukareply 🙏 ulihisi huyo dada anakutaka au
 
😁😁Ila we dada, sasa hili la kumtaka/kunitaka we umelitoa wapi?
Nimelitoa baada ya kuchambua jibu lako
Mtu anapokujibu kwa emoj inaonesha anazuia muendelezo wa mazungumzo

Ulihisi anakutaka ndio maana ukakatisha maongezi kwa kuogopa 'Unajua mpaji mimi nakuzimikia':AmberDollDance:
 
Ulihisi anakutaka ndio maana ukakatisha maongezi kwa kuogopa
Mtu akikatisha mawasiliano kwann uhisi hakutaki🤔kwann usireason kwamba may be anadrive, Kuna kazi anafanya, usingizi umemtight macho hayaoni vzr na mambo mengine yanayoweza kumfanya asiwe comfortable kuchat
 
Kama mtu kweli anakutaka atadrive huku mnachat, kama ana usingizi atakuaga na sio emoj kama bubu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] daaah saa nikae wapi ama ndo nipande juu ya meza [emoji898][emoji898][emoji1635] lazima ninywe kwanza ndo niendeshe car njia iyooo......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyokoooo wee!!!
Em acha kujivungaa, njoo upate kitu na roho yako ifurahii.
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom