Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Si uchukue simu yakoNdugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.
Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.
Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.
Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Sema baadhi usitukosee wengine sisi hatuko hivyokwisha unaenda kwao meaning ni mtoto wa Mama , ukiona mtu anadai kuwa nawengi pita hivi . Ukitaka honga mwanamke au mwanaume unawazazi wahonge mpaka wakuoe baraka mfululizo, sikia maisha nikujipa raha . Mie ni mwanamke nimemnunulia mwanaume simu nikamlipia ada nikamlipia geto la 60 kwa mwezi ila hilo geto wengine wanaliwa hadi tigo nikajua nikasepa nikamwacha . Na bado nikaja jf full vilio wanaume hakuna handsome kuna waomba vocha , haya niambie maisha haya utakufa au utalia maana katika harakati za maisha jaribu hadi uwin. Maisha nikuwin maisha sio kuloose mtafute mwanamke anayejituma anayekupenda na anayekujali basi .
HayaSema baadhi usitukosee wengine sisi hatuko hivyo
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Njia pekee ni kuwaumiza tu π€£π€£π€£ laki 3 imeenda na majiNdugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.
Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.
Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.
Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
πHaya
Haha umemshtukia dume huyo eeh!!
Ni demu huyu mkuuHaha umemshtukia dume huyo eeh!!
Ohoo we haya. Yangu macho
[emoji850][emoji850][emoji850]Ohoo we haya. Yangu macho
ππππππππππππππWahuni mmekatiza na emoji ya kicheko tuπ