Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Nakubali[emoji1787]Jamaa yupo dunia gani sijui mademu kwa asilimia 90 kwa siku hizi si wa kutongoza au kubembeleza ukimbembeleza anakuona mshamba fulani, siku hizi ni vipi mambo uko poa, njoo basi somewhere, unampa luxury uchwara na vibia unapiga mzigo unampa 30 unasepa! Kizazi hiki hakipendi majamaa yanayorembaremba ndio saikolojia yao ilivyo! No matter yupo decent kwa namna gani?