Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa


Kanunua simu kampa demu walivyoachana kampokonya alisikika mwimbaji mmoja
 
Siwezi kukupa pole ila utapunguza maumivu endapo utarudisha hiyo simu mikononi mwako tena.

By the way soma kitabu cha Dominic Mann kitakusaidia
Hatari sana hiki kitabu, uwe unawaletea vijana sio wanawapa tu wanawake vitu kijinga, na akimaliza hicho asome flirt like a pro. Cha huyo huyo dominic mann nafikiri atakuwa amepiga hatua kubwa kwenye maswala ya wanawake.
 
watu bhana 😅😅😅 although I know how you feel

ila asa wewe ulimnunulia simu ili awasiliane na wewe tu?? kwamba hauna marafiki?

Pole chukua simu yako
 
Asa ndo umemla mara 1, ilipaswaa uipige hata wiki hivi tajiri angu, kisha unapotea mazima
 
Kama huyu mwanamke alidhamiria kumtapel" bas hiyo simu hata dumu nayo ipo siku ataipoteza au kuibiwa, siku zote kitu cha dhuruma haki dumu.
 
Huu ndo ushauri
 
Wahuni sio watu, unamnunulia mpenzi wako simu halafu simu hio hio anaitumia kumpigia mpenzi wake. Maisha hayajawahi kuwa faire.

Halafu kuna kenge itasema mwanamke mpe
pesa au vitu anatulia vizuri.
Sio faire ni fair
 
Wahuni sio watu, unamnunulia mpenzi wako simu halafu simu hio hio anaitumia kumpigia mpenzi wake. Maisha hayajawahi kuwa faire.

Halafu kuna kenge itasema mwanamke mpe
pesa au vitu anatulia vizuri.
Ninakoelekea ninaanza kukosa imani na hii jinsia ya kike, wamegeuka majambazi sana
 
Mle jicho huyo hana sifa za kuja kua mke
 
Ushauri mzuri.
 
Wazee wa Kitonga wanasema...
Nunua simu sisi tutampigia
Nunua shuka sisi Ndio tutalalia
Nunua gari misele tutaipigia
Jengea nyumba hapo Ndio tutafikia
e.t.c
Ndio maana mnachomwa moto.
Epuka kulala kwa demu.
Epuka kutumia gari la demu.
Ukizoea hivi vitu ujue utabakwa au utachomwa moto mkiwa mmelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…