Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Yaani jenga friendly environment mkutane. Yaani akija na hiyo simu lamba kabisa kama asali. Mhuni Sana huyo. Ukimaliiza kulamba unanyanyuka bila neno lolote unasepa zako. Unamla block ya mwaka.
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Kachukue simu yako muachie line yake. Manake wakati unanunua hiyo simu si ulipewa risiti kwa jina lako ama!!??
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Vp ulishawahi kumchakaza huyo dem ama ndio ilikuwa bado. Kama uliwahi mbembeleze tena mara ya pili akiingia kingi mpige mbuzi kagoma kwenda.
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Hasa huyo mwanamke 1 aliyekupiga ndo afanye uone wanawake wote sio wa kuwaamini?
Eboo!
We fanya mpango chukua cm yako!

Usije shidwa kuwa na mwanamke mwaminifu kisa mmoja kazingua
 
Mnajifanyaga mnazo huenda hata baiskeli huna.
Kila mtu ana level zako.
Hata mimi nimevuka level za simu lakini siwezi kudharau maumivu ya mleta uzi.

Kuibiwa hata 500 huwa sio jambo jema hata kudogo.
Huyu demu amemuibia jamaa waziwazi hata mbususu hajapewa.
Atalijua jiji.
Watu wametapeliwa nyumba hapa jijini.
Kama katoka Igunga arudi huko huko kijijini.
 
bora ungemnunulia tecno ya elfu ishirini ,change inayobaki ukamtumia mama yako hao wenzetu hawanaga shukrani,inakupasa kuwa kauzu flani
 
mkuu pole mimi ilinitokea miezi miwili nyuma nilimnunulia demu simu sumsung A11 nikampa ili mawasiliano yaimarike niendelee kufaidi mbususu kwa uhakika zaidi..
Sasa bhna baada ya kupokea simu kama wiki hivi nikaanza kuona mabadiliko kitu cha kwanza nilianza kuona ni siwezi kuona status zake WhatsApp nikajua hapa lazima namba imefutwa au privacy inatumika juu yangu ili nisione nini na nani anawekwa status.

Siku moja nikiwa nimetoka kazini mida ya saa kumi12 nikampigia mtoto nikamwambia nataka tuonane akanambia naomba iwe saa moja namalizia kupika nikamwambia sawa ilipo fika saa moja nikajisogeza maeneo ya kukutana nikawa nameza moto polepole muda unasonga .

Nilipo mpigia nikamwambia nakusubiri maeneo hapa uje akagutuka heee! umeshakujaa?? nikamwambia ndio akaanza sasa mbona umekuja na sijakwambia uje nikamjibu tulikubaliana ni saa moja.

Akasema mi bado nina kazi siwezi kutoka nikamwambia utamamaliza saa ngapi akajibu sijui..nikaona isiwe tabu nikakata simu nikamalizia kinywaji nikasepa lakini kichwani nawaza hizi dharau.
Nikaanza mpango wa kutaka kachukua simu yangu ili mpango uende vizuri nikasema sitakiwi kuwa na hasira niwe mpolee basii baada ya siku moja kupita nikamwambia nakuja huko nikuletee zawadi gani,? akasema amua wewe basi chap nikaingia online nikadownlod caver za simu yake za kike nzuri nikamtumia picha nikamwambia chagua caver mbili nipo dukani hapa nikununulie akasema nataka hii na hiii...

Basii nikajua hapa kila kitu kitakuwa sawa nikamwambia basi usiache simu maana zingine huwa zinapwaya hivyo vizuri tujaribishe ili kama itakuwa kuna kasoro nirudi nazo..

Mishale ya saa moja hivi tukakutana tukapiga story fresh nikamwambia nipe simu yako basi akanipa screen lock amebadilisha ila kabla sijampa ile simu mwanzo nilikuwa nimeweka finger print yangu hivyo ilikuwa rahisi kutoa lock chap nikatoa nikaangalia namba yangu kweli haijaseviwa.

Nikamuuliza mbona namba umefuta hana cha kusema nikamwambia naondoka na simu yangu akajibu sawa nikatoa ufungo mfukoni nikachomoa line zake nikamwambia shika akagoma nikaziweka chini hapo mara ghafla akanishika akasema ivi kweli ndo umeamua hivyo nikamwambia ndio nasepa..

Akaanza kilio amenikamata lakini haikusaidia baada ya vutana ya muda nikasepa zangu..Sasa bhana baada ya kufika home na kuikagua ile simu asee niliishiwa nguvu yani aseee acha nisiseme tu...[emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602]
Malizia mjumbe....
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Chukua simu yako unangojea nini.?
 
Nenda na mapolice feki kachukuwe simu yako ,huyo ni tapeli wa mapenzi.. hakuna kuendekeza wala kusamehe ujinga..!

Hiyo simu hakukuomba umpe, beta males mtaendelea kupigwa matukio mwanzo mwisho kwa kuiga mapenzi ya bongo mocie na Hollywood..mixer mbwembwe za bongo flavour.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] badilisha handle kwanza otherwise utaishia kupatwa namikosi Kila kukicha

Kwisha habari yako [emoji16]
 
Back
Top Bottom