Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

mkuu pole mimi ilinitokea miezi miwili nyuma nilimnunulia demu simu sumsung A11 nikampa ili mawasiliano yaimarike niendelee kufaidi mbususu kwa uhakika zaidi..
Sasa bhna baada ya kupokea simu kama wiki hivi nikaanza kuona mabadiliko kitu cha kwanza nilianza kuona ni siwezi kuona status zake WhatsApp nikajua hapa lazima namba imefutwa au privacy inatumika juu yangu ili nisione nini na nani anawekwa status.

Siku moja nikiwa nimetoka kazini mida ya saa kumi12 nikampigia mtoto nikamwambia nataka tuonane akanambia naomba iwe saa moja namalizia kupika nikamwambia sawa ilipo fika saa moja nikajisogeza maeneo ya kukutana nikawa nameza moto polepole muda unasonga .

Nilipo mpigia nikamwambia nakusubiri maeneo hapa uje akagutuka heee! umeshakujaa?? nikamwambia ndio akaanza sasa mbona umekuja na sijakwambia uje nikamjibu tulikubaliana ni saa moja.

Akasema mi bado nina kazi siwezi kutoka nikamwambia utamamaliza saa ngapi akajibu sijui..nikaona isiwe tabu nikakata simu nikamalizia kinywaji nikasepa lakini kichwani nawaza hizi dharau.
Nikaanza mpango wa kutaka kachukua simu yangu ili mpango uende vizuri nikasema sitakiwi kuwa na hasira niwe mpolee basii baada ya siku moja kupita nikamwambia nakuja huko nikuletee zawadi gani,? akasema amua wewe basi chap nikaingia online nikadownlod caver za simu yake za kike nzuri nikamtumia picha nikamwambia chagua caver mbili nipo dukani hapa nikununulie akasema nataka hii na hiii...

Basii nikajua hapa kila kitu kitakuwa sawa nikamwambia basi usiache simu maana zingine huwa zinapwaya hivyo vizuri tujaribishe ili kama itakuwa kuna kasoro nirudi nazo..

Mishale ya saa moja hivi tukakutana tukapiga story fresh nikamwambia nipe simu yako basi akanipa screen lock amebadilisha ila kabla sijampa ile simu mwanzo nilikuwa nimeweka finger print yangu hivyo ilikuwa rahisi kutoa lock chap nikatoa nikaangalia namba yangu kweli haijaseviwa.

Nikamuuliza mbona namba umefuta hana cha kusema nikamwambia naondoka na simu yangu akajibu sawa nikatoa ufungo mfukoni nikachomoa line zake nikamwambia shika akagoma nikaziweka chini hapo mara ghafla akanishika akasema ivi kweli ndo umeamua hivyo nikamwambia ndio nasepa..

Akaanza kilio amenikamata lakini haikusaidia baada ya vutana ya muda nikasepa zangu..Sasa bhana baada ya kufika home na kuikagua ile simu asee niliishiwa nguvu yani aseee acha nisiseme tu...[emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602]
Ebu nipe mbinu ya kurudisha laki tatu nilizomkopesha mrembo mmoja niliekuwa nawinda kumhegegda lakini kanizidi akili mpaka sasa
 
Ebu nipe mbinu ya kurudisha laki tatu nilizomkopesha mrembo mmoja niliekuwa nawinda kumhegegda lakini kanizidi akili mpaka sasa
duuh kwa cash inakuwaga ngumu ila fanya kukazia uzi umgegede usepe zako
 
Ebu nipe mbinu ya kurudisha laki tatu nilizomkopesha mrembo mmoja niliekuwa nawinda kumhegegda lakini kanizidi akili mpaka sasa
Kwaiyo ukimdai yeye anakupa majibu gani?
 
Dah yaani huyu mrembo akiingia kwenye 18 zangu naona nitamfumua marinda maana kanifanya boya sana
unabomoa kotekote unatwanga na kusaga aseee jiwe tatu inauma ila ndo ukubwa kuvumilia
 
𝐖𝐚𝐥𝐞 𝐰𝐚𝐡𝐮𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐥𝐨𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐩𝐢𝐠𝐚 𝐤𝐞𝐥𝐞𝐥𝐞 𝐳𝐚 𝐭𝐚𝐟𝐭𝐚 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐦𝐤𝐞 𝐚𝐭𝐚𝐭𝐮𝐥𝐢𝐚 𝐦𝐛𝐨𝐧𝐚 𝐬𝐢𝐰𝐚𝐨𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐚, 𝐈𝐥𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐝𝐮𝐧𝐢𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐣𝐚𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐦𝐞𝐧𝐠𝐢,
𝗙𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗮𝗺𝗲𝗵𝗲 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝘃𝗶𝗹𝗲 𝘂𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝗱𝗵𝘂𝗿𝘂𝗺𝗶𝘄𝗮 𝗽𝗲𝘀𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗱𝗲𝗻𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗼 𝗺𝗻𝗮𝗽𝗶𝘀𝗵𝗮𝗻𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗮 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗺𝘄𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝘂𝗻𝗮𝗺𝗽𝗼𝘁𝗲𝘇𝗲𝗮, 𝗮𝗻𝗮𝘆𝗲𝗸𝘂𝗹𝗮 𝗮𝘀𝗶𝗰𝗵𝗼𝗸𝗶𝘁𝗼𝗹𝗲𝗮 𝗷𝗮𝘀𝗵𝗼 𝗯𝗮𝘀𝗶 𝘂𝗷𝘂𝗲 𝗮𝗺𝗲𝗸𝘂𝗹𝗮 𝗺𝘄𝗶𝗯𝗮
 
Mkuu, kwanza pole sana. Fanya kama umepoteza hela au umetoa sadaka. Lakini kama unaweza kumtega akaja ukaonana nae mazingira ambayo mko wawili mpokonye, andaa mtego ikiwezekana muahidi zawadi kubwa usioneshe kukasirika ili aje.
Mbinu ya kimedania🤣🤣🤣🤣
 
Vijana wana tabu saana, sasa yeye alidhani simu ya laki 3 ndio atamkamata, watu wanahonga mpaka range bado wanatafuniwa,
Ukiwa mwanaume inabidi ujue wapi nawekeza wapi natupa, yupi anastahili zawadi yako, yupi unampa tu kama kumsaidia.

Sisi hatuwezi kuwakamata wanawake kwa visenti vyetu, ukiona mwanamke umemnunulia simu ya laki 2 na katulia nawe hata mapepe hana ujue kakupenda(ANAKUSTIRI😂) na si hicho kisimu chako............................. Maelezo mengi mzee mwenzangu utanichosha bure, ndio maana nikaishia kucheka tu, halafu anaonekana mgeni kwenye haya mambo, alipaswa awe level hata ya professional, huyu ni beginner kaabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Hapo chukua chako pita hv. Kiufupi yaan
 
Haki ya nani, siwezi kukupa pole. [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom