mkuu pole mimi ilinitokea miezi miwili nyuma nilimnunulia demu simu sumsung A11 nikampa ili mawasiliano yaimarike niendelee kufaidi mbususu kwa uhakika zaidi..
Sasa bhna baada ya kupokea simu kama wiki hivi nikaanza kuona mabadiliko kitu cha kwanza nilianza kuona ni siwezi kuona status zake WhatsApp nikajua hapa lazima namba imefutwa au privacy inatumika juu yangu ili nisione nini na nani anawekwa status.
Siku moja nikiwa nimetoka kazini mida ya saa kumi12 nikampigia mtoto nikamwambia nataka tuonane akanambia naomba iwe saa moja namalizia kupika nikamwambia sawa ilipo fika saa moja nikajisogeza maeneo ya kukutana nikawa nameza moto polepole muda unasonga .
Nilipo mpigia nikamwambia nakusubiri maeneo hapa uje akagutuka heee! umeshakujaa?? nikamwambia ndio akaanza sasa mbona umekuja na sijakwambia uje nikamjibu tulikubaliana ni saa moja.
Akasema mi bado nina kazi siwezi kutoka nikamwambia utamamaliza saa ngapi akajibu sijui..nikaona isiwe tabu nikakata simu nikamalizia kinywaji nikasepa lakini kichwani nawaza hizi dharau.
Nikaanza mpango wa kutaka kachukua simu yangu ili mpango uende vizuri nikasema sitakiwi kuwa na hasira niwe mpolee basii baada ya siku moja kupita nikamwambia nakuja huko nikuletee zawadi gani,? akasema amua wewe basi chap nikaingia online nikadownlod caver za simu yake za kike nzuri nikamtumia picha nikamwambia chagua caver mbili nipo dukani hapa nikununulie akasema nataka hii na hiii...
Basii nikajua hapa kila kitu kitakuwa sawa nikamwambia basi usiache simu maana zingine huwa zinapwaya hivyo vizuri tujaribishe ili kama itakuwa kuna kasoro nirudi nazo..
Mishale ya saa moja hivi tukakutana tukapiga story fresh nikamwambia nipe simu yako basi akanipa screen lock amebadilisha ila kabla sijampa ile simu mwanzo nilikuwa nimeweka finger print yangu hivyo ilikuwa rahisi kutoa lock chap nikatoa nikaangalia namba yangu kweli haijaseviwa.
Nikamuuliza mbona namba umefuta hana cha kusema nikamwambia naondoka na simu yangu akajibu sawa nikatoa ufungo mfukoni nikachomoa line zake nikamwambia shika akagoma nikaziweka chini hapo mara ghafla akanishika akasema ivi kweli ndo umeamua hivyo nikamwambia ndio nasepa..
Akaanza kilio amenikamata lakini haikusaidia baada ya vutana ya muda nikasepa zangu..Sasa bhana baada ya kufika home na kuikagua ile simu asee niliishiwa nguvu yani aseee acha nisiseme tu...[emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602]