Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Nami muhanga mwenzako kuna kidemu Nilikikopesha laki" hakitaki kunilipa, kina niambia baba yake anaumwa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Bwana nakumbuka ule ushauri wa jamaa hapa jf usimuonee huruma mwanamke. Hawa ni nipe nikuoe ata alie mtoto wake anakufa wacha afe tuu ila usimuonee huruma kabisa
 
Pole sana bora yako wewe laki 3 mimi wangu bi mkubwa wake alilazwa muhimbili sewa haji private akaniambia nikiwa kama mchumba wake ambae ndio future yake uko mbele nimuazime laki5 tano aongezee kwenye kulipia bili za pale hospital lohhhhh kumbe napigwa changa la macho nikampa 650k kumbe kuna bwana ake kapata kazi za kwenda congo na malori sasa iyo sehemu aliyopata kazi kumbe HR anataka 400k kama rushwa ndio jamaa apewe nafasi jamaa akampigia demu wake ambae ndio alikuwa mchumba wangu demu akamuambia usijali ngoja niitafute iyo hela ndio nikapigwa na kitu kizito kichwani na hela yote akatumiwa jamaa yaani 400k kama rushwa 250k iliyobaki ni kama pocket money kwa muda atakao kuwa uko congo ..nikaja kugundua kuwa yule bi mkubwa wake alikuwa adaiwi ata mia na hospital ana mtoto wake mkubwa wa kiume alimkatia bima kubwa kwaiyo bima ililipia kila kitu.. nilichokuja kumfanyia sijui kama atakuja kunisahau kenge yule
Pole Sana,

Ulimfanyaje??
 
Bwana nakumbuka ule ushauri wa jamaa hapa jf usimuonee huruma mwanamke. Hawa ni nipe nikuoe ata alie mtoto wake anakufa wacha afe tuu ila usimuonee huruma kabisa
Nilijua utatutetea 😂
 
Ndo mana juzi kunademu nimempa lift kesho yake nikala mzigo akijua mi ni bonge la bwana nilimsugua usiku kucha kwa fuja nika mpakia boda asubuhi na 5k mkononi ndo alipie boda hapo hapo yaan kanilaani laana zote mamaeee... Si wachekeagi kwenye hela
Nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana bora yako wewe laki 3 mimi wangu bi mkubwa wake alilazwa muhimbili sewa haji private akaniambia nikiwa kama mchumba wake ambae ndio future yake uko mbele nimuazime laki5 tano aongezee kwenye kulipia bili za pale hospital lohhhhh kumbe napigwa changa la macho nikampa 650k kumbe kuna bwana ake kapata kazi za kwenda congo na malori sasa iyo sehemu aliyopata kazi kumbe HR anataka 400k kama rushwa ndio jamaa apewe nafasi jamaa akampigia demu wake ambae ndio alikuwa mchumba wangu demu akamuambia usijali ngoja niitafute iyo hela ndio nikapigwa na kitu kizito kichwani na hela yote akatumiwa jamaa yaani 400k kama rushwa 250k iliyobaki ni kama pocket money kwa muda atakao kuwa uko congo ..nikaja kugundua kuwa yule bi mkubwa wake alikuwa adaiwi ata mia na hospital ana mtoto wake mkubwa wa kiume alimkatia bima kubwa kwaiyo bima ililipia kila kitu.. nilichokuja kumfanyia sijui kama atakuja kunisahau kenge yule
Hahahaha unyama unyamani, malizia mkuu
 
Balaa duh wanawake hawana huruma aisee. Pole sana
 
Muite gheto kwako mwambie aje achukue zawadi,

Sio lazima aje gheto hata hapo kwao unaweza mchomolea laini zake,

Akifika mwambie akupe simu, toa laini mkabidhi baki na simu yako, mwambie asepe maana hakuna anachokudai.

Usimfanye chochote, anaweza kukubambikia mimba bure.
Akienda bila simu je
 
Asisahau kutoa lock kabla hajachukua
 
Kuna ushaidi wowote unaothibitisha simu ni ya kwako? Kama haupo, achana naye; atakuharibia mambo yako mengine.
 
Wahuni sio watu, unamnunulia mpenzi wako simu halafu simu hio hio anaitumia kumpigia mpenzi wake. Maisha hayajawahi kuwa faire.

Halafu kuna kenge itasema mwanamke mpe
pesa au vitu anatulia vizuri.
Diamond alimnunulia zari hadi jumba la kifahari huko south Africa, mwisho pacha wa p-square akala tunda[emoji38]
 
Back
Top Bottom