Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Babu si umekula mbususu,Kausha na jifunze kutoweka moyo Kwa madem wa mjini.
 
Mimi mwanamke nikishaona ana dalili ya utapeli tu nakuwa naye mbali, utakuta anakwambia hana simu.
 
Huwa sipendi 100% kumuumiza mwanamke lkn kwa tabia zao mbovu wanastahili kisasi.
 
Sema huyo mwanamke hajielewi

Ni bora mtu anipe kitu nitakithamini kukitunza kitu kuliko pesa yaani.
Tatizo linakuja unapomdanganya mwanaume ukapewa vitu vya thamani kumbe huna mpango naye.
Huu ni wizi na inaumiza sana.
Kama hunitaki usitake na vitu vyangu
 
Anaacha simu haji nayo..
 
Kachukue simu yako
 
Acha ufala sema tunajua ujinga wao wote[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda na bashasha la kutosha ikiwezekana na kachokoleti baada ya maongezi mwambie naomba hiyo simu kidogo kinachifata ni kutoa line yake unaondoka na simu yako kwa raha zako

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Yaani simu tu?
Ungemnunulia gari je?
 
watu bhana [emoji28][emoji28][emoji28] although I know how you feel

ila asa wewe ulimnunulia simu ili awasiliane na wewe tu?? kwamba hauna marafiki?

Pole chukua simu yako
Tatizo hajapewa mbususu
 

Kitu nilicho jifunza mwanamke hata akuumize vipi usichukue hatua maana huwa wanajirud as long as ulikua mwema
 
Hawa viumbe usiingie kichwkochwa bn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…