Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
 
Siwezi kukupa pole ila utapunguza maumivu endapo utarudisha hiyo simu mikononi mwako tena.

By the way soma kitabu cha Dominic Mann kitakusaidia.
 
Attachments

Mkuu najua unapitia wakati mgumu sana, kwanza pole kwa hiki kilichokukuta hawa wanawake ni kuwa nao makini sana. Tambua laki tatu si kitu fanya kumpotezea tu ipo siku hiyo simu yake itapasuka kioo na ataifanyia repair kwa gharama zake.

Pia tambua kumnyang'anya hiyo simu haitokufanya kupunguza maumivu bali ndo utaendelea kuumia zaidi.

Cha kufanya achana nae tena kaa kimya kabisa ikibidi mpotezee na usahau kama uliwahi kuwa nae utaona mwisho wake utakavyokuwa.
 
Mkuu najua unapitia wakati mgumu sana, kwanza pole kwa hiki kilichokukuta hawa wanawake ni kuwa nao makini sana. Tambua laki tatu si kitu fanya kumpotezea tu ipo siku hiyo simu yake itapasuka kioo na ataifanyia repair kwa gharama zake.

Pia tambua kumnyang'anya hiyo simu haitokufanya kupunguza maumivu bali ndo utaendelea kuumia zaidi.
Cha kufanya achana nae tena kaa kimya kabsa ikibidi mpotezee na usahau kama uliwahi kuwa nae utaona mwisho wake utakavyokuwa.
Yalishawai nikuta Ila though kimpotezea sio lahisi[emoji16]
 
Muite gheto kwako mwambie aje achukue zawadi,

Sio lazima aje gheto hata hapo kwao unaweza mchomolea laini zake,

Akifika mwambie akupe simu, toa laini mkabidhi baki na simu yako, mwambie asepe maana hakuna anachokudai.

Usimfanye chochote, anaweza kukubambikia mimba bure.
 
Back
Top Bottom