Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Mkuu, kwanza pole sana... fanya kama umepoteza hela au umetoa sadaka... Lakini kama unaweza kumtega akaja ukaonana nae mazingira ambayo mko wawili mpokonye... andaa mtego ikiwezekana muahidi zawadi kubwa.. usioneshe kukasirika ili aje...
Remember amesha sema hapokei simu
 
Kwanza Pole........ kuna kipindi haya mambo utayasahau ....ila kwa sasa fanya kusahau habari zake kabisa ...ingekuwa ni mimi ninge tafta demu mwingine ili umsahau huyo mcharuko ..... inaonekana huyo alikuwa anakutega uka jaaa hadi kumnunulia simu ...move on tafta manzi mwingine atakaye kuweka bize ili usiwaze tena ...
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo ina ni tesa

Huyo demu sasa hivi apokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyo nunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee
mkuu pole mimi ilinitokea miezi miwili nyuma nilimnunulia demu simu sumsung A11 nikampa ili mawasiliano yaimarike niendelee kufaidi mbususu kwa uhakika zaidi..
Sasa bhna baada ya kupokea simu kama wiki hivi nikaanza kuona mabadiliko kitu cha kwanza nilianza kuona ni siwezi kuona status zake WhatsApp nikajua hapa lazima namba imefutwa au privacy inatumika juu yangu ili nisione nini na nani anawekwa status.

Siku moja nikiwa nimetoka kazini mida ya saa kumi12 nikampigia mtoto nikamwambia nataka tuonane akanambia naomba iwe saa moja namalizia kupika nikamwambia sawa ilipo fika saa moja nikajisogeza maeneo ya kukutana nikawa nameza moto polepole muda unasonga .

Nilipo mpigia nikamwambia nakusubiri maeneo hapa uje akagutuka heee! umeshakujaa?? nikamwambia ndio akaanza sasa mbona umekuja na sijakwambia uje nikamjibu tulikubaliana ni saa moja.

Akasema mi bado nina kazi siwezi kutoka nikamwambia utamamaliza saa ngapi akajibu sijui..nikaona isiwe tabu nikakata simu nikamalizia kinywaji nikasepa lakini kichwani nawaza hizi dharau.
Nikaanza mpango wa kutaka kachukua simu yangu ili mpango uende vizuri nikasema sitakiwi kuwa na hasira niwe mpolee basii baada ya siku moja kupita nikamwambia nakuja huko nikuletee zawadi gani,? akasema amua wewe basi chap nikaingia online nikadownlod caver za simu yake za kike nzuri nikamtumia picha nikamwambia chagua caver mbili nipo dukani hapa nikununulie akasema nataka hii na hiii...

Basii nikajua hapa kila kitu kitakuwa sawa nikamwambia basi usiache simu maana zingine huwa zinapwaya hivyo vizuri tujaribishe ili kama itakuwa kuna kasoro nirudi nazo..

Mishale ya saa moja hivi tukakutana tukapiga story fresh nikamwambia nipe simu yako basi akanipa screen lock amebadilisha ila kabla sijampa ile simu mwanzo nilikuwa nimeweka finger print yangu hivyo ilikuwa rahisi kutoa lock chap nikatoa nikaangalia namba yangu kweli haijaseviwa.

Nikamuuliza mbona namba umefuta hana cha kusema nikamwambia naondoka na simu yangu akajibu sawa nikatoa ufungo mfukoni nikachomoa line zake nikamwambia shika akagoma nikaziweka chini hapo mara ghafla akanishika akasema ivi kweli ndo umeamua hivyo nikamwambia ndio nasepa..

Akaanza kilio amenikamata lakini haikusaidia baada ya vutana ya muda nikasepa zangu..Sasa bhana baada ya kufika home na kuikagua ile simu asee niliishiwa nguvu yani aseee acha nisiseme tu...[emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602]
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Iliwahi nitokea hii

Ngoja nikupe mchongo

Mtafute askari yeyote mlieshibana.

Mpe mchongo,mtoe kidogo.ampigie simu anaitwa kituoni.

Akija aambiwe simu yake inaonekana kwenye system kwa makosa mtandaoni.

Aiche kituoni ipelekwe maabara ikachunguzwe(ndio imetokea hio)

Jamaa atakupa simu Yako utampa na kahela is brashi.

Na demu unamtupa kule kama takataka.
 
mkuu pole mimi ilinitokea miezi miwili nyuma nilimnunulia demu simu sumsung A11 nikampa ili mawasiliano yaimarike niendelee kufaidi mbususu kwa uhakika zaidi..
Sasa bhna baada ya kupokea simu kama wiki hivi nikaanza kuona mabadiliko kitu cha kwanza nilianza kuona ni siwezi kuona status zake WhatsApp nikajua hapa lazima namba imefutwa au privacy inatumika juu yangu ili nisione nini na nani anawekwa status.

Siku moja nikiwa nimetoka kazini mida ya saa kumi12 nikampigia mtoto nikamwambia nataka tuonane akanambia naomba iwe saa moja namalizia kupika nikamwambia sawa ilipo fika saa moja nikajisogeza maeneo ya kukutana nikawa nameza moto polepole muda unasonga .

Nilipo mpigia nikamwambia nakusubiri maeneo hapa uje akagutuka heee! umeshakujaa?? nikamwambia ndio akaanza sasa mbona umekuja na sijakwambia uje nikamjibu tulikubaliana ni saa moja.

Akasema mi bado nina kazi siwezi kutoka nikamwambia utamamaliza saa ngapi akajibu sijui..nikaona isiwe tabu nikakata simu nikamalizia kinywaji nikasepa lakini kichwani nawaza hizi dharau.
Nikaanza mpango wa kutaka kachukua simu yangu ili mpango uende vizuri nikasema sitakiwi kuwa na hasira niwe mpolee basii baada ya siku moja kupita nikamwambia nakuja huko nikuletee zawadi gani,? akasema amua wewe basi chap nikaingia online nikadownlod caver za simu yake za kike nzuri nikamtumia picha nikamwambia chagua caver mbili nipo dukani hapa nikununulie akasema nataka hii na hiii...

Basii nikajua hapa kila kitu kitakuwa sawa nikamwambia basi usiache simu maana zingine huwa zinapwaya hivyo vizuri tujaribishe ili kama itakuwa kuna kasoro nirudi nazo..

Mishale ya saa moja hivi tukakutana tukapiga story fresh nikamwambia nipe simu yako basi akanipa screen lock amebadilisha ila kabla sijampa ile simu mwanzo nilikuwa nimeweka finger print yangu hivyo ilikuwa rahisi kutoa lock chap nikatoa nikaangalia namba yangu kweli haijaseviwa.

Nikamuuliza mbona namba umefuta hana cha kusema nikamwambia naondoka na simu yangu akajibu sawa nikatoa ufungo mfukoni nikachomoa line zake nikamwambia shika akagoma nikaziweka chini hapo mara ghafla akanishika akasema ivi kweli ndo umeamua hivyo nikamwambia ndio nasepa..

Akaanza kilio amenikamata lakini haikusaidia baada ya vutana ya muda nikasepa zangu..Sasa bhana baada ya kufika home na kuikagua ile simu asee niliishiwa nguvu yani aseee acha nisiseme tu...[emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602]
Hawa viumbe hawazaminiki aiseee
 
Mzee mwenzangu kwanini unamcheka mwenzio?
Vijana wana tabu saana, sasa yeye alidhani simu ya laki 3 ndio atamkamata, watu wanahonga mpaka range bado wanatafuniwa,
Ukiwa mwanaume inabidi ujue wapi nawekeza wapi natupa, yupi anastahili zawadi yako, yupi unampa tu kama kumsaidia.

Sisi hatuwezi kuwakamata wanawake kwa visenti vyetu, ukiona mwanamke umemnunulia simu ya laki 2 na katulia nawe hata mapepe hana ujue kakupenda(ANAKUSTIRI😂) na si hicho kisimu chako............................. Maelezo mengi mzee mwenzangu utanichosha bure, ndio maana nikaishia kucheka tu, halafu anaonekana mgeni kwenye haya mambo, alipaswa awe level hata ya professional, huyu ni beginner kaabisa.
 
Hapo kaa kimya wala hamna haja ya kumpokonya simu , Ukifanya hvyo utakuwa na Moyo mkuu , na lazima akutafte tena , ipo hv wanawake huwa wanapitia stage katika mahusiano , unapomtokea mwanamke akakubali sio kwamba ndo amejitoa kwako Mazima , hapo unajidanganya , ni process ndefu Sana mpak mwanamke akukubali na kuona kuwa wew ndo tumaini la pekee , na hii huenda mpak hata miaka 15 ,

Mwanamke huwa anapitia stage za kuyumba kimsimamo kila mara atakapokuwa anatongozwa na wanaume wenye sifa kukuzidi , upendo na kujali sku zote huwa Una nguvu kuliko pesa na Magari , tatizo huleta matokeo baada ya mda mrefu , upendo wako kwake , namna unavyomjali Kwa dhati kabisa japo huna pesa nyingi wala magari, mambo haya huzunguka kichwani mwa mwanamke mpak mwisho ... Pesa na Mali zina matokeo ya mda mfupi tuu Kwa mwanamke ... Baada ya mda atakurudia tuu..tatizo Sisi wanaume likikutokea moja Kwa moja unakimbia kutoa lawama , kuwa mpole

Na ndo mana wanawake wengi hurud Kwa EX zao kimya kimya ....!!

Haya mambo hayakutokei wewe tuu hata waliooa wake zao ni hvyo hvyo most , ataliwa huku na kule baada ya mda atagundua wewe ndo msaada kwake kule alikoona panafaa kumbe chenga tupu ...
hamna maishaa hapoo... suala la mapenzi
 
Na kasimu nilicho mpora kako hapa kama mtu anakataka nakatoa kwa bei ya kutupa..
 
Attachments

  • tmp-cam-2423874834101153777.jpg
    tmp-cam-2423874834101153777.jpg
    159.2 KB · Views: 19
  • tmp-cam-6947516067270683585.jpg
    tmp-cam-6947516067270683585.jpg
    89.6 KB · Views: 16
Back
Top Bottom