zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,068
Ndugu wadau wa JF,
mAISHA yangu ya sasa ya ujana, bado sijafanikiwa kukutana na mwanamke bikira kimwili. Japo nahisi ni jambo gumu mno katika maisha yetu ya mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ya kukutana kimwili na mwanamke ambaye ni bikira.
Sijisikii vibaya sana kwa hali hii, kwa sababu hata mwanamke ambaye siyo bikira ni mzuri pia, ili mradi awe anajitambua na kujiheshimu na kujibidiisha katika maendeleo ya kimaisha pia.
Ila nilishamezeshwa sumu na marafiki kwamba wao wameshawahi kulala na wanawake ambao ni mabikira, na wamekuwa wakinicheka mimi ambaye niliwahi kuwaambia sijawahi kulala na mwanamke ambaye ni bikira.
Wakati mwingine huwa ninaumia kiasi flani ninavyochekwa na marafiki zangu linapoongelewa swala la mapenzi hasa upande wa ngono, najikaza kiume lakini ninaumizwa kwa kuchekwa kwa jambo kama hilo.