Katika maisha yangu haya ya ujana, sijakutana na mwanamke bikira kimwili

Katika maisha yangu haya ya ujana, sijakutana na mwanamke bikira kimwili

Sitaki kutembea na mwanafunzi aliye chini ya umri wa miaka 18, wala sitaki kulawiti vitoto vidogo. Ila ninaumia moyoni kwa kuchekwa na marafiki lol!

Pole sana mkuu na matobo.
 
Ndugu wadau wa JF,

mAISHA yangu ya sasa ya ujana, bado sijafanikiwa kukutana na mwanamke bikira kimwili. Japo nahisi ni jambo gumu mno katika maisha yetu ya mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ya kukutana kimwili na mwanamke ambaye ni bikira.
Sijisikii vibaya sana kwa hali hii, kwa sababu hata mwanamke ambaye siyo bikira ni mzuri pia, ili mradi awe anajitambua na kujiheshimu na kujibidiisha katika maendeleo ya kimaisha pia. Ila nilishamezeshwa sumu na marafiki kwamba wao wameshawahi kulala na wanawake ambao ni mabikira, na wamekuwa wakinicheka mimi ambaye niliwahi kuwaambia sijawahi kulala na mwanamke ambaye ni bikira.
Wakati mwingine huwa ninaumia kiasi flani ninavyochekwa na marafiki zangu linapoongelewa swala la mapenzi hasa upande wa ngono, najikaza kiume lakini ninaumizwa kwa kuchekwa kwa jambo kama hilo.

Bikira ziko tu mkuu hujaamua, afu avatar yako inaonekana mzee then unajiita kijana
 
pole ndugu yangu,dah! yaani hauna zali kabisa.
Nalog off
 
Mkuu kama hukupata ukiwa primary au secondar kwa wakati huo basi ustarajie muujiza kwa sasa maana hata ya kichina hutapata.
 
jaman niseme mara ngap nakupenda unielewe? wewe ndo umeshikilia bolt za mwili wangu come on my angel i love you more than normal

Umeshawahi kuogeshwa tindikali wewe...!?
c.c figganigga
 
Last edited by a moderator:
kwa maisha ya sasa ni ngumu sana wengi wanaanzwa kutolewa primary mwisho form 2 mmoja ktk elfu ndio wanafika nazo form 4 na mmoja ktk laki 5 labda ndio anafika nayo form 6 baada ya apo hakuna tena ni mitumba tu!!
 
Wewe mwenyewe maharage ya mbeya bikra utaikuta wapi khu mwanaume zipu mkononi, utakutana na haohao maji maramoja.
 
We mwenyewe bikira?kwa taarifa yako wapo wengine hata vyuoni na wanazo? UmewaZINI machangudoa wataka ukute bikira

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom