witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 722
- 237
mmmh! noma noumaa kwel ! mbona bikira kuna mtu kama me i don't like them b'coz of their confusion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heaven on earth, anakudanganya huyo.
Ana mkewe kijijini...
Sitaki uingie cha kiume shoga.
Shem mwungwana...napeleka taarifa kwa wifi na kaka.
basi shda nin na mwanamke bikra??ka we huna ya mwenzio we yaninKwani wanaanzia kufanya mapenzi wakiwa mimba bado?
Na hao walo pata hao wanawake bikra mpaka sasa wako natofauti gani na wewe? au wana uhakika gani kama bikra au walibaniwa miguu na vilio vya mjinga ndio aliwae? wasikushughulishe na maneno yao yasojenga taifa,wengine hata ukiwauliza katika hao Bikra ikoje haijui,wametiliwa dawa zaki china ndio wameona bikra baada ya week akuridia mchezoNdugu wadau wa JF,
mAISHA yangu ya sasa ya ujana, bado sijafanikiwa kukutana na mwanamke bikira kimwili. Japo nahisi ni jambo gumu mno katika maisha yetu ya mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ya kukutana kimwili na mwanamke ambaye ni bikira.
Sijisikii vibaya sana kwa hali hii, kwa sababu hata mwanamke ambaye siyo bikira ni mzuri pia, ili mradi awe anajitambua na kujiheshimu na kujibidiisha katika maendeleo ya kimaisha pia. Ila nilishamezeshwa sumu na marafiki kwamba wao wameshawahi kulala na wanawake ambao ni mabikira, na wamekuwa wakinicheka mimi ambaye niliwahi kuwaambia sijawahi kulala na mwanamke ambaye ni bikira.
Wakati mwingine huwa ninaumia kiasi flani ninavyochekwa na marafiki zangu linapoongelewa swala la mapenzi hasa upande wa ngono, najikaza kiume lakini ninaumizwa kwa kuchekwa kwa jambo kama hilo.
hata wanawake uliotembea nao, nao wanajilaumu kukuta wewe sio bikira!
Heaven on earth, anakudanganya huyo.
Ana mkewe kijijini...
Sitaki uingie cha kiume shoga.
Shem mwungwana...napeleka taarifa kwa wifi na kaka.
Sipendi bikraaaaa!
I'd rather bang a w.hore than a virgin!
Maneno ya mkosaji
promiseme hilo nalo nenoNa hao walo pata hao wanawake bikra mpaka sasa wako natofauti gani na wewe? au wana uhakika gani kama bikra au walibaniwa miguu na vilio vya mjinga ndio aliwae? wasikushughulishe na maneno yao yasojenga taifa,wengine hata ukiwauliza katika hao Bikra ikoje haijui,wametiliwa dawa zaki china ndio wameona bikra baada ya week akuridia mchezo
anakuta hall kama la bwawa.......

Ndugu wadau wa JF,
mAISHA yangu ya sasa ya ujana, bado sijafanikiwa kukutana na mwanamke bikira kimwili. Japo nahisi ni jambo gumu mno katika maisha yetu ya mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ya kukutana kimwili na mwanamke ambaye ni bikira.
Sijisikii vibaya sana kwa hali hii, kwa sababu hata mwanamke ambaye siyo bikira ni mzuri pia, ili mradi awe anajitambua na kujiheshimu na kujibidiisha katika maendeleo ya kimaisha pia.
Ila nilishamezeshwa sumu na marafiki kwamba wao wameshawahi kulala na wanawake ambao ni mabikira, na wamekuwa wakinicheka mimi ambaye niliwahi kuwaambia sijawahi kulala na mwanamke ambaye ni bikira.
Wakati mwingine huwa ninaumia kiasi flani ninavyochekwa na marafiki zangu linapoongelewa swala la mapenzi hasa upande wa ngono, najikaza kiume lakini ninaumizwa kwa kuchekwa kwa jambo kama hilo.