Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira

Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.

Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.

Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta shughuli yoyote ya kufanya, utaishia kuweweuka na stress.
 
Hao vijana wamechanganyikiwa, kwa mtazamo wao wanadhani watapata ajira kwa kuanzisha chama chao? Serikali huajiri kulingana na nafasi zilizopo, hao walimu wengi wao watazeeka bila kuajiriwa vinginevyo wakosomee kozi zingine zenye kuwapa ajira kirahisi bila kusubiri nafasi zitokee. Kama kuna kijana anachangia chama chao ajue hela yake itaenda bure na ajira itakuwa ni propability of an event kuajiriwa, wajiongeze waachane na upuuzi huo
 
Hivyo kwenye hicho chama mtu akipata ajira anajitoa...😅
 
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira

Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.

Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.

Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta shughuli yoyote ya kufanya, utaishia kuweweuka na stress.
Kimeanzishwa na nani na kwa madhumuni gani? Kwangu mimi kama wakijitambua vizuri basi chama chao kinaweza kusaidia kuleta mabadiliko Tanzania kwa kuunga mkono mambo kama katiba mpya na uchaguzi huru. ia ni vizuri kada nyingine wakaiga hili. Na pia wahitimu wa vyuo vikuu wote, waanzishe chama cha wahitimu wa vyuo vikuu wasio na ajira.
 
Hao vijana wamechanganyikiwa, kwa mtazamo wao wanadhani watapata ajira kwa kuanzisha chama chao? Serikali huajiri kulingana na nafasi zilizopo, hao walimu wengi wao watazeeka bila kuajiriwa vinginevyo wakosomee kozi zingine zenye kuwapa ajira kirahisi bila kusubiri nafasi zitokee. Kama kuna kijana anachangia chama chao ajue hela yake itaenda bure na ajira itakuwa ni propability of an event kuajiriwa, wajiongeze waachane na upuuzi huo
Hakika mkuu
 
Kuna wana-nchi na wenye-nchi. Know the difference.

Makamba alipigwa kofi leo karudishwa, next wk anarudi kwenye baraza la mawaziri. Walimu endeleeni kuunda vyama.
 
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira

Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.

Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.

Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta shughuli yoyote ya kufanya, utaishia kuweweuka na stress.
Pole mwalimu
 
Hawawezi mkuu mindset zao zipo fixed na ajira pekee
Inatakiwa waji-organise ili kutaka mabadiliko la sivyo hawatasikilizwa na yeyote. Da, mkuu hata mimi nashangaa zamani mtu akipangiwa chuo cha ualimu anaangua kilio na wengi walikuwa hawaendi.
 
Mimi nimechoka ajira ya ualimu ni Bora serikali iweke utaratibu tubadilishane na vijana wa kitaa ili na wao wapate pa kujishika
 
Chama kikianza kuleta athari mwenyekit makamu na katibu wanapewa ajira chama kinaanz upya
 
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira

Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.

Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.

Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta shughuli yoyote ya kufanya, utaishia kuweweuka na stress.
nchi hii inavyama vingi ikiwemo ccm kwamaana hiyo wote walioanzisha na wanachama wake wote ni waliochanganyikiwa siyo
 
Mwanachama wa chama cha walimu wasio na ajira,ikitokea akapata ajira ya ualimu ,anajiondoa kwenye uanachama au anafanyaje?
 
Nzi akiacha ujinga wa kujilambalamba mikono/miguu anaweza tengeneza asali.
Wakipata kazi wasiwe daraja la kubadilisha matokeo ya uchaguzi kwa kuongeza sifuri.
 
Back
Top Bottom