Kimeanzishwa na nani na kwa madhumuni gani? Kwangu mimi kama wakijitambua vizuri basi chama chao kinaweza kusaidia kuleta mabadiliko Tanzania kwa kuunga mkono mambo kama katiba mpya na uchaguzi huru. ia ni vizuri kada nyingine wakaiga hili. Na pia wahitimu wa vyuo vikuu wote, waanzishe chama cha wahitimu wa vyuo vikuu wasio na ajira.Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira
Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.
Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.
Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta shughuli yoyote ya kufanya, utaishia kuweweuka na stress.
Hakika mkuuHao vijana wamechanganyikiwa, kwa mtazamo wao wanadhani watapata ajira kwa kuanzisha chama chao? Serikali huajiri kulingana na nafasi zilizopo, hao walimu wengi wao watazeeka bila kuajiriwa vinginevyo wakosomee kozi zingine zenye kuwapa ajira kirahisi bila kusubiri nafasi zitokee. Kama kuna kijana anachangia chama chao ajue hela yake itaenda bure na ajira itakuwa ni propability of an event kuajiriwa, wajiongeze waachane na upuuzi huo
Hawawezi mkuu mindset zao zipo fixed na ajira pekeeKimeanzishwa na nani na kwa madhumuni gani? Kwangu mimi kama wakijitambua vizuri basi chama chao kinaweza kusaidia kuleta mabadiliko Tanzania kwa kuunga mkono mambo kama katiba mpya na uchaguzi huru.
Pole mwalimuSikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira
Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.
Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.
Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta shughuli yoyote ya kufanya, utaishia kuweweuka na stress.
Aah! OkPole mwalimu
Inatakiwa waji-organise ili kutaka mabadiliko la sivyo hawatasikilizwa na yeyote. Da, mkuu hata mimi nashangaa zamani mtu akipangiwa chuo cha ualimu anaangua kilio na wengi walikuwa hawaendi.Hawawezi mkuu mindset zao zipo fixed na ajira pekee
Kitakuwa na waasi wengi sanaHivyo kwenye hicho chama mtu akipata ajira anajitoa...😅
nchi hii inavyama vingi ikiwemo ccm kwamaana hiyo wote walioanzisha na wanachama wake wote ni waliochanganyikiwa siyoSikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira