Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

Mwanachama wa chama cha walimu wasio na ajira,ikitokea akapata ajira ya ualimu ,anajiondoa kwenye uanachama au anafanyaje?
Hahahha

Mkuu wewe hauwajui waafrika

Ynai hata simu hawezi pokea kabisa
 
Lione hili jinga siasa imewashinda walichokariri ni katiba mpya, upumbavu km huu huwezi sikia kwa nchi zilizoendelea.
 
Mimi ajira ya uwalimu ikiwa ina maslahi sawa na kazi ya ubunge nitafanya tofauti na hapo hapana,,na sipo teari kujitolea kwa vyovyote vile , lamda kama kujitolea kwenye ubunge ,sio ualimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…