Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

Britanica yaani umeingia mitaa ya Thamel pake KTM, kule ni hatari sana. Panakaaga kama hapaeleweki lakini mambo ya huko Mungu tu awahurumie binadamu. Watu wa upinde kibao, ovyo sana Thamel.
Hakika niliongia n wakanipa Mpaka picha za michoro fulan

Alafu nikaenda club zao nikaenda pale dhaka na Hardrock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…