Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika niliongia n wakanipa Mpaka picha za michoro fulanBritanica yaani umeingia mitaa ya Thamel pake KTM, kule ni hatari sana. Panakaaga kama hapaeleweki lakini mambo ya huko Mungu tu awahurumie binadamu. Watu wa upinde kibao, ovyo sana Thamel.
Du haya!!!!Hakika niliongia n wakanipa Mpaka picha za michoro fulan
Alafu nikaenda club zao nikaenda pale dhaka na Hardrock
Ngoja Britanica ajibu maana ni hatari.Mkuu kuna nini huko Thamel?
Inaonekana dunia kila kona kumechafuka..!Ngoja Britanica ajibu maana ni hatari.
3.Poor InfrastructureJiandaen kwa arosto kali wazee mana point ni zile zile..,
1. poor gvnt support,
2. lack of employment.. etc