Katika mapenzi kila mwanaume ni 'Starring' na starring huwa hafi, naomba tuseme ukweli na hapa

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Ukisoma mada nyingi humu unaweza kudhani mwanamke ni kiumbe rahisi sana kutoa tunda,lakini kiuhalisia na sehemu kubwa sio kweli.

Kuna mada kadhaa zinazungumzia kula tunda katika mazingira hatarishi na nyingine kula tunda kimasihara .
Ukizisoma mada hizo motomoto utaona kwamba wanaume wengi wamekula matunda kirahisi sana as if kupata tunda ni kazi rahisi sana.

Hata hivyo mimi nimegundua na nimejifunza kitu kikubwa sana kwa mada nyingi humu jukwaani juu ya wanawake.Aisee wanawake ni viumbe muhimu sana kwetu,ndio maana kupata mrembo ni kitu kizuri cha kifahari,cha ki pekee,na cha kusimulia sana,kujisifu sana na kujiiunua sana.

Wanawake bana tuwaone tu jinsi walivyo,wakiamua kuweka na wao mambo yao ni balaa.

Kitu nilichogundua wanawake ni viumbe muhimu sana kwa wananume,bila wanawake maisha ni magumu sana,ikitokea tukaamka asubuhi na kukuta wanawake wote, vitoto vya kike vibinti na wamama hawapo ,yaani wamehamishiwa sayari nyingine aisee wanaume tutajuta sana,na kufuru nyingi sana zitafanyika.

Kwa ujasiri mkubwa kabisa naomba na kwa mada hii sisi wanaume tuseme ukweli,

Unakumbuka uliwahi kukataliwa na wanawake wangapi maishani,?
Ulitumia gharama kiasi gani lakini hukupewa tunda,?
Ulimtongoza mwanamke kwa muda mrefu kiasi gani hadi ukakata tamaa hatimae ukaacha kumfuatilia kabisa?
Je ulikuja ukaonewa huruma ndio baadae ukapewa?
Wanaume tuseme ukweli tulilivyotolewa nje,kurushwa,kuzinguliwa kuzungushwa na kuliwa mapene.
Na vibuti vingine kama hivyo.

Wanawake pia semeni jinsi mlivyokula vya watu bila kutoa tunda,kuturusha ,kututolea nje,kutusubirisha bar ,ghetto,room, chini ya mwembe etc bila kutokea.

Bila kuficha naamini mada hii itakua fupi zaidi kwa sababu sisi wanaume ni ma "starring",na "starring" huwa hafi,akifa sinema imekwisha.

Nawasilisha.
 
Stearing×
Starring√

Wanawake wa siku hizi ni wepese sana kutoa mbunye mkuu. Hapa nilipo nikiamua leo nilale nimekula mbunye 05 nazila, tena nalala mapema nikiwa nimeshamaliza kazi hiyo, hata kama wote niki-sort wake za watu.
 
ngoja waje tuone watasemaje...
ujasiri wa kusema ukweli kua aliwahi kukataliwa na demu ,kama vile wanawake huwa wanatutania kuwa hakuna mwanaume masikini,maana yake demu unaempenda akikuomba hela utaiba,utakopa,utatafuta kwa kila namna utampa,yeye hajui umetoa wapi ,inabaki kuwa siri yako tu ili mradi ule tunda.ha ha ha
 
Stearing×
Starring√

Wanawake wa siku hizi ni wepese sana kutoa mbunye mkuu. Hapa nilipo nikiamua leo nilale nimekula mbunye 05 nazila, tena nalala mapema nikiwa nimeshamaliza kazi hiyo, hata kama wote niki-sort wake za watu.
hao hao unaokutana nao mkuu

and that means na we ujichunguze utakuwa na nyota ya maji mara moja

ndege wafananao huruka pamoja
 
Kinachofanya nione kuwa wanawake si wagumu ktk utoaji ni nikiangalia idadi ya watu😎😎
 
Kuna mtu umemshika pabaya😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Ukisoma mada nyingi humu unaweza kudhani mwanamke ni kiumbe rahisi sana kutoa tunda,lakini kiuhalisia na sehemu kubwa sio kweli.

Kuna mada kadhaa zinazungumzia kula tunda katika mazingira hatarishi na nyingine kula tunda kimasihara .
Ukizisoma mada hizo motomoto utaona kwamba wanaume wengi wamekula matunda kirahisi sana as if kupata tunda ni kazi rahisi sana.

Hata hivyo mimi nimegundua na nimejifunza kitu kikubwa sana kwa mada nyingi humu jukwaani juu ya wanawake.Aisee wanawake ni viumbe muhimu sana kwetu,ndio maana kupata mrembo ni kitu kizuri cha kifahari,cha ki pekee,na cha kusimulia sana,kujisifu sana na kujiiunua sana.

Wanawake bana tuwaone tu jinsi walivyo,wakiamua kuweka na wao mambo yao ni balaa.

Kitu nilichogundua wanawake ni viumbe muhimu sana kwa wananume,bila wanawake maisha ni magumu sana,ikitokea tukaamka asubuhi na kukuta wanawake wote, vitoto vya kike vibinti na wamama hawapo ,yaani wamehamishiwa sayari nyingine aisee wanaume tutajuta sana,na kufuru nyingi sana zitafanyika.

Kwa ujasiri mkubwa kabisa naomba na kwa mada hii sisi wanaume tuseme ukweli,

Unakumbuka uliwahi kukataliwa na wanawake wangapi maishani,?
Ulitumia gharama kiasi gani lakini hukupewa tunda,?
Ulimtongoza mwanamke kwa muda mrefu kiasi gani hadi ukakata tamaa hatimae ukaacha kumfuatilia kabisa?
Je ulikuja ukaonewa huruma ndio baadae ukapewa?
Wanaume tuseme ukweli tulilivyotolewa nje,kurushwa,kuzinguliwa kuzungushwa na kuliwa mapene.
Na vibuti vingine kama hivyo.

Wanawake pia semeni jinsi mlivyokula vya watu bila kutoa tunda,kuturusha ,kututolea nje,kutusubirisha bar ,ghetto,room, chini ya mwembe etc bila kutokea.

Bila kuficha naamini mada hii itakua fupi zaidi kwa sababu sisi wanaume ni ma "starring",na "starring" huwa hafi,akifa sinema imekwisha.

Nawasilisha.
Wanaume tunajisahau kuwa na wanawake nao wana hisia, wana ashiki kama sisi. Wengi katika hizo nyuzi ulizozitaja ambazo ni wanaume, wafikiri wao ndio waliwarubuni au kuwashawishi wanawake waliofanya nai uasherati, ila ninaamini, kwa huo wakati, hata mwanamke alitaka kushiriki, la sivyo vichwa vya nyuzi vingebadilika na kuwa ubakaji.
 
Nimekataliwa mara nyingi sana.Wanawake wengi nimetongoza tena kwa miaka na sikuambulia kitu.Kuna wengine wamekuja kunikubali wameshapoteza urembo na umri umekwenda..
Nishawai kukataliwa na wanawake ambao ni malaya kila mtu kapitia ila nikienda mimi ananikatalia ama ananizungusha.Nikijiangalia nina vigezo kuzidi wote anaowakubalia nashindwa kuelewa mpaka leo.

Pia na mimi nimeshawakataa wanawake wengi.Kuna aina ya wanawake sili hata niwe na ugwadu.
 
hivi ulikuwa na maana gani...? muandiko wako umekimbia sana kwa kwekweli...!
 
Wanawake kukataa inategemea sana na status ya mtongozaji, sidhani kama wanawake ni wagumu kama unavyosema kitu cha msingi tangaza nia hata kampeni usifanye jimbo utachukua tu.
 
Back
Top Bottom