Katika mapenzi kila mwanaume ni 'Starring' na starring huwa hafi, naomba tuseme ukweli na hapa

Wanawake kukataa inategemea sana na status ya mtongozaji, sidhani kama wanawake ni wagumu kama unavyosema kitu cha msingi tangaza nia hata kampeni usifanye jimbo utachukua tu.
Mkuu mwanamke kumkataa mtu integemea na Hali,Kuna mwanamke wa kawaida Sana aweza mkataa mwanaume mwenye status kubwa kwa sababu tu ni mzinzi hatarii
 
Nimekataliwa mara nyingi sana.Wanawake wengi nimetongoza tena kwa miaka na sikuambulia kitu.Kuna wengine wamekuja kunikubali wameshapoteza urembo na umri umekwenda..
Nishawai kukataliwa na wanawake ambao ni malaya kila mtu kapitia ila nikienda mimi ananikatalia ama ananizungusha.Nikijiangalia nina vigezo kuzidi wote anaowakubalia nashindwa kuelewa mpaka leo.

Pia na mimi nimeshawakataa wanawake wengi.Kuna aina ya wanawake sili hata niwe na ugwadu.
Sawa kabisa mkuu,haya mambo yako pande zote,ni kama mtu mwindaji wanyama,Kuna siku anapata mnyama na Kuna siku hapati.mm naamini ni wanaume wachache Sana ambao hawajawahi kukataliwa.kama ingekua ni rahisi kumpata mwamke umtakae Basi ndoa nyingi zisingevunjika
Nimekataliwa mara nyingi sana.Wanawake wengi nimetongoza tena kwa miaka na sikuambulia kitu.Kuna wengine wamekuja kunikubali wameshapoteza urembo na umri umekwenda..
Nishawai kukataliwa na wanawake ambao ni malaya kila mtu kapitia ila nikienda mimi ananikatalia ama ananizungusha.Nikijiangalia nina vigezo kuzidi wote anaowakubalia nashindwa kuelewa mpaka leo.

Pia na mimi nimeshawakataa wanawake wengi.Kuna aina ya wanawake sili hata niwe na ugwadu.
Uko sahihi kbs,Kama ingekua rahisi kukubalika Basi naamini ndoa nyingi zingevunjika maana watu wangesalitiana Sana,ukiona Dem wa Fulani mkali unajitongozea tu na unagonga.
 
Ni kweli wapo,ila ujue wanawake wa type hiyo unayosema Kuna mwanaume mwingine huko anamtesekea balaa anahonga na kurushwa kushenzi .
Haaa mm nihonge huku namtongoza mzee haha haipo hyo nakulamba ndo nakuhonga tena hela ya pedi
 
Ukweli ni kuwa tunadanganyana oooh sijui nimekula kimasihara. Ukweli ni kuwa wanawake tu wengi wana huruma. Na labda nayeye ana hisia na wewe (alikutaka pia) lkn akiamua kukukazia aisee hakuna jinsi unayoweza fanya.

Sijui ni mimi tu mfano mdogo mwanamke akiamua kukususia mwili wake tu mfano hivi unaweza kuwa hata na mzuka wa kuendelea?
 
Ha ha ha ukisusiwa mwili unakua na hofu Fulani na wasiwasi.
Unachosema ni kweli,Dem akiamua kukaza huna cha kufanya hata awe dhaifu kiasi gani.
Kuna mtoto wa mkubwa mmoja miaka ta nyuma alikua akimtongoza housegirl wao akawa anatolewa nje.jamaa kwa uchungu wa kanyimwa papuchi alimpiga mdada risasi na yeye akajipiga.pata picha.
 
😂😂Sasa kuna wanawake wengine wamepinda akiona una mlazimisha sana kila akikwambia huelewi. Anajiweka hapo anakwambia haya maliza haraka unachokihitaji.
 
Back
Top Bottom