lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
- Thread starter
-
- #21
Utawalaje wakati tu huwatamani? Na utawatongozaje wakati huwatamani?kwa hiyo hao tayari washapoteza sifa za kuliwa na wewe.Mm kuna type fulan hivi ya wanawake hata iweje siwali hata niwe n.a. ham vipi
Ujue kuja wale wanawake hata bila kuwatongoza wanajirahisisha yanUtawalaje wakati tu huwatamani? Na utawatongozaje wakati huwatamani?kwa hiyo hao tayari washapoteza sifa za kuliwa na wewe.
Mkuu mwanamke kumkataa mtu integemea na Hali,Kuna mwanamke wa kawaida Sana aweza mkataa mwanaume mwenye status kubwa kwa sababu tu ni mzinzi hatariiWanawake kukataa inategemea sana na status ya mtongozaji, sidhani kama wanawake ni wagumu kama unavyosema kitu cha msingi tangaza nia hata kampeni usifanye jimbo utachukua tu.
Sawa kabisa mkuu,haya mambo yako pande zote,ni kama mtu mwindaji wanyama,Kuna siku anapata mnyama na Kuna siku hapati.mm naamini ni wanaume wachache Sana ambao hawajawahi kukataliwa.kama ingekua ni rahisi kumpata mwamke umtakae Basi ndoa nyingi zisingevunjikaNimekataliwa mara nyingi sana.Wanawake wengi nimetongoza tena kwa miaka na sikuambulia kitu.Kuna wengine wamekuja kunikubali wameshapoteza urembo na umri umekwenda..
Nishawai kukataliwa na wanawake ambao ni malaya kila mtu kapitia ila nikienda mimi ananikatalia ama ananizungusha.Nikijiangalia nina vigezo kuzidi wote anaowakubalia nashindwa kuelewa mpaka leo.
Pia na mimi nimeshawakataa wanawake wengi.Kuna aina ya wanawake sili hata niwe na ugwadu.
Uko sahihi kbs,Kama ingekua rahisi kukubalika Basi naamini ndoa nyingi zingevunjika maana watu wangesalitiana Sana,ukiona Dem wa Fulani mkali unajitongozea tu na unagonga.Nimekataliwa mara nyingi sana.Wanawake wengi nimetongoza tena kwa miaka na sikuambulia kitu.Kuna wengine wamekuja kunikubali wameshapoteza urembo na umri umekwenda..
Nishawai kukataliwa na wanawake ambao ni malaya kila mtu kapitia ila nikienda mimi ananikatalia ama ananizungusha.Nikijiangalia nina vigezo kuzidi wote anaowakubalia nashindwa kuelewa mpaka leo.
Pia na mimi nimeshawakataa wanawake wengi.Kuna aina ya wanawake sili hata niwe na ugwadu.
Ni kweli wapo,ila ujue wanawake wa type hiyo unayosema Kuna mwanaume mwingine huko anamtesekea balaa anahonga na kurushwa kushenzi .Ujue kuja wale wanawake hata bila kuwatongoza wanajirahisisha yan
Angekojolewa mdomoni sijui ingekuaje!Wanaume ni nomaView attachment 1245832
Ingemuongezea credit SterlingAngekojolewa mdomoni sijui ingekuaje!
Haaa mm nihonge huku namtongoza mzee haha haipo hyo nakulamba ndo nakuhonga tena hela ya pediNi kweli wapo,ila ujue wanawake wa type hiyo unayosema Kuna mwanaume mwingine huko anamtesekea balaa anahonga na kurushwa kushenzi .
Ok hata hivyo isingemsumbua,ikiwa watu wanazamaga chumvini,ambako ndo njia ya mikojo!sanasana ingemuongezea stim tu kama beberu.Ingemuongezea credit Sterling
Lol Kuna watu wanahonga balaa na unakuta mchezo hawapati.na mwanaume ulikiwa unakufa na tai shingoni.inauma ndani kwa ndaniHaaa mm nihonge huku namtongoza mzee haha haipo hyo nakulamba ndo nakuhonga tena hela ya pedi
Unapata magaga ya moyoniLol Kuna watu wanahonga balaa na unakuta mchezo hawapati.na mwanaume ulikiwa unakufa na tai shingoni.inauma ndani kwa ndani
Ha ha ha.ila bana acha kabisa Kuna vidume hua vinadai virudishiwe hongo aliyotoa Kama kanyimwa huduma,ingawa wengi hupotezea.Unapata magaga ya moyoni
Wengine ndo hao watia risasi tuHa ha ha.ila bana acha kabisa Kuna vidume hua vinadai virudishiwe hongo aliyotoa Kama kanyimwa huduma,ingawa wengi hupotezea.
Ha ha ha ukisusiwa mwili unakua na hofu Fulani na wasiwasi.Ukweli ni kuwa tunadanganyana oooh sijui nimekula kimasihara. Ukweli ni kuwa wanawake tu wengi wana huruma. Na labda nayeye ana hisia na wewe (alikutaka pia) lkn akiamua kukukazia aisee hakuna jinsi unayoweza fanya.
Sijui ni mimi tu mfano mdogo mwanamke akiamua kukususia mwili wake tu mfano hivi unaweza kuwa hata na mzuka wa kuendelea?
Ehee huo ni mfano mwingine wa kukataliwa,kuhonga na,kuliwa ingawa jamaa nasikia alikua Kisha zaa nae.Wengine ndo hao watia risasi tu
😂😂Sasa kuna wanawake wengine wamepinda akiona una mlazimisha sana kila akikwambia huelewi. Anajiweka hapo anakwambia haya maliza haraka unachokihitaji.Ha ha ha ukisusiwa mwili unakua na hofu Fulani na wasiwasi.
Unachosema ni kweli,Dem akiamua kukaza huna cha kufanya hata awe dhaifu kiasi gani.
Kuna mtoto wa mkubwa mmoja miaka ta nyuma alikua akimtongoza housegirl wao akawa anatolewa nje.jamaa kwa uchungu wa kanyimwa papuchi alimpiga mdada risasi na yeye akajipiga.pata picha.
Inaweza isisimame aisee!😂😂Sasa kuna wanawake wengine wamepinda akiona una mlazimisha sana kila akikwambia huelewi. Anajiweka hapo anakwambia haya maliza haraka unachokihitaji.
Pole ndugu ilikuaje?Usinikumbushe pesa zangu zinavyopotea kwa mambo ya kijinga...wanawake ni watu wa ajabu sana.