Katika marafiki zako kama huna rafiki ambae ukikwama unakosa hata kukusaidia buku 5 au 10 jitafakari sana

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,257
Reaction score
3,905
Kama Hawa ndio washikaji zako , Kama ndio Hawa ndo marafiki zako ,

Ikitokea umekwama una shida unahitaji either buku tano au kumi either ni urgently au sio urgently sasa katika marafiki zako wa karibu ukakosa wa kukupiga tafu ..

Aisee jitafakari sana uhusiano wako na marafiki wanaokuzunguka
 
Inategemea na rafiki ulio nao, kama wote mnategemea fundi mkuu awape posho ya kubeba Banda baada ya kuchomelea unadhani utapata wa kukupa buku tano wote ni broke guy
 
Kwa upande wangu na zama tulizopo marafiki wawepo ila ikitokea shida hasa ya kipesa ni bora uwe na ndugu wa karibu mliyeshibana ambaye anaweza akakusaidia na huyo anaweza akakufichia siri kuliko hao marafiki ambao wengi tumejaa unafiki.
 
Kitu nilichogundua most friends we have

Wako na sisi sababu Kuna vitu wana benefits toka kwetu na wengine wanatutumia for their benefits au katika mambo yao.......

Ndo maana kwa kweli swala lolote linakuhusu wewe unashangaa uko peke yako
 
Si ndio mtani. Naunga mkono hoja.
 
Kitu nilichogundua most friends we have

Wako na sisi sababu Kuna vitu wana benefits toka kwetu na wengine wanatutumia for their benefits au katika mambo yao.......

Ndo maana kwa kweli swala lolote linakuhusu wewe unashangaa uko peke yako
Uzi ufungwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…