Utamaduni wa vijana wengi ni kupewa sio kutoa.Wewe ndio inatakiwa uwe na uwezo wa kusaidia hao marafiki zako buku tano au kumi, work on yourself. Jiheshimishe.
UmenifurahishaMimi kwenye urafiki ukishaingiza mambo ya pesa, nakupotezea. Maana ya urafiki si lazima akusaidie kipesa. Hata mawazo, kukushauri pale anapoona huendi sawa. Mambo ya pesa ndiyo maana kuna Taasisi za kukopesha. Acheni kubebesha watu mizigo isiyo yao.
Mm mwnyw hapa sijiwez, nna mwaka sasa nakula mara nne kwa wiki 😭Wewe ndo unatakiwa unisaidie mkuu maana Mimi ni kapuku wa hali ya juu 😁😁😁.
Kweli kabisa mkuu.Sihitaji marafiki, marafiki wengi ni wanafiki.
Kula mara nne kwa wiki ni utajiri mkubwa mno mkuu. MmiMm mwnyw hapa sijiwez, nna mwaka sasa nakula mara nne kwa wiki 😭
Kujenga urafiki inahitaji akili sana siyo kila urafiki unaingia kichwa kichwa. Hoja ya msingi tupambane tuwe na uchumi imara. Huwezi kuwa na mtu wa kukupa hiyo 10k kama uchumi wako hakuna siku na ww utatakiwa umsaidie na usiweze kumpa. Maisha ni give and take au two way traffick. Lakini pia lazima ujue, kuna kipindi uko vizuri utapata marafiki wengi na hata ukashindwa kujua rafiki wa kweli kwa sababu wanahitaji kupokea toka kwako. Ila meza ikipinduka ukawa huna kitu hao hao uliokuwa unawahangaikia ndio wa kwanza kukukimbia. Imeshawahi kunitokea kuna watu walikuwa close friends lakini by that time wao ndo walikuwa wanafaidika na urafiki. Baadaye Pakatokea changamoto kwa miaka michache, nilihitaji sana msaada wao wote walisepa wakabaki wachache sana. Nikamshukuru Mungu kujua kwamba hao wawili au watatu waliobaki ndio marafiki zangu. Tunapeana support mtu anajitoa hata laki 5 na hadai, mwingine hata milioni. Ila na wao wanajua mm nikiwa poa huwa nawatoaKama Hawa ndio washikaji zako , Kama ndio Hawa ndo marafiki zako ,
Ikitokea umekwama una shida unahitaji either buku tano au kumi either ni urgently au sio urgently sasa katika marafiki zako wa karibu ukakosa wa kukupiga tafu ..
Aisee jitafakari sana uhusiano wako na marafiki wanaokuzunguka
Duh ww inabid usupport no reform no election kwa nguvu zote.Sina rafiki wala ndugu wa kunipa ata buku 2 inshort kote nilishaharibu,Ata mke wangu home hawez kunipa ata buku
Unakula madini ya JF 🔥Kula mara nne kwa wiki ni utajiri mkubwa mno mkuu. Mmi
ukiona Niko JF jua kwamba nimekosa msosi najifariji kwa kusoma threads mbalimbli 😀.
Ndicho chakula changu hasa!Unakula madini ya JF 🔥
Mimi sitaki kabisa kusikia kuhusu ndugu, ndugu ni nyoka.Mi nawacheki ndugu, hao ndio wananisitiri. Marafiki wengi ni nyoka.
Akifa?Nina mshkaji mmoja tu ninaweza kufanya hivyo, hata yeye pia.