Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona .

Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k

Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano .

Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana kuuondoa ugonjwa .
 
Kama unapitia changamoto ya ugonjwa fulani kukurudia Mara Kwa mara au kutopona .

Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k

Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano .

Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana kuuondoa ugonjwa .
Ni kweli.

Dawa kupitia sindano (injection) inaingia Moja kwa Moja katika damu na kwenye mfumo wa majimaji yaliyopo mwilini, wakati vidonge huwa kwanza hupitia mchakato mrefu kabla dawa haijaingia kwenye mfumo wa damu katika mwili.
 
Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona .

Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k

Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano .

Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana kuuondoa ugonjwa .
Samahani mkuu naomba kuuliza, aina ya matibabu anatakiwa mgonjwa kujipangia kuwa Sasa nichome sindano au daktari ndo anatakiwa atoe ushauri na tiba kitaalamu zaidi ?
 
Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona .

Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k

Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano .

Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana kuuondoa ugonjwa .
Sawa dawa inafanya kazi haraka ila ni teknolojia ambayo inahitaji mbadala.
 
uko sahihi,...nimeona watu wengi wakikataa kuchomwa sindano za makalio..
Ni kwa vile ni tiba tu, ila mambo ya kuchomana sindano sio kabisa. Kuna masindano mengine yako huko ni kama ya kuchoma punda. Waje na teknolojia mpya yani ukijipaka tu tayari dawa imefika kunakohusika.
 
1)NASHAURI WAGONJWA WAFUATE USHAURI WA DAKTARI.

2)Kwa wagonjwa wanaopata changamoto ya magonjwa kuwarudia mara kwa mara au kutopona ikiwa wametumi dawa za vidonge bila kupata matokea chanya kwa haraka.
WASIKIMBILIE KUCHOMA SINDANO BALI STILL PIA WAFUATE USHAURI WA DAKTARI.
Kwa sababu hata dawa zilizoko katika formulation ya sindano parenteral au oral ,zote zinaweza zikaleta matokeo chanya au zisilete matokea chanya kwa haraka,inategemea na factors nyingi ambazo hizi zote DAKTARI PEKEE akishirikiana na wataalamu wengine wa afya katika kituo chako cha karibu cha kutolea huduma za afya ndio wanajua aina ya ugonjwa unaokusumbua ,VIRULENCE aina ya vimelea na ukali uwezo wake wa kusababisha ugonjwa/nguvu ya vimelea vya magonjwa na nguvu ya dawa SENSITIVITY katika kuua au kufubaza vimelea vya ugonjwa ,usugu wa ugonjwa , na aina ya dawa kulingana na ugonjwa wako baada ya kusikiliza,kukupima na kukuchunguza.
Watakutibu kwa kufuata MIONGOZO YA MATIBABU ILIYOTHIBITISHWA kitaifa na kimataifa kadiri ya ugonjwa wako kwa ainanyoyote ya dawa watakayo ona ni sahihi na muafaka kwa ugonjwa wako hata kama ni ya vidonge tena au sindano .
Wapo waliotumia dawa za sindano kwa muda mrefu kujitibu UTI/STI mfano powercef kujitibu gono na ikadunda resistance.
Ugonjwa unaoambukiza kukurudia mara kwa mara inaweza ikawa ni re infection,resistance,incorrect medications
Labda umepata maambikizi mapya,usugu wa ugonjwa au matumizi yasiyosahihi ya dawa.Au sababu nyingine.SINDANO PEKEE SIO SULUHISHO,MADAKTARI NDIO ndio wanajua aina ya matibabu yanayostahili kutibu ugonjwa wako.Kulingana na virulence yani sindano ni kama bomu vitani ,haiwezekani utumie bomu kuua sisimizi badala ya rungu,askari makini anajua atumke silaha gani wakati gani.
PIA DAWA ZOTE pia ni potential poison na zina mathara mwilini .Pia kabla ya kupewa /kutimia dawa yoyote kuna daktari kijiridhisha kama haitakuathiri kulingana na mtu,miili yetu hailingani,kuna allergy kuna contraindications na indications kuna vitu vingi.DAWA ZAFAA ZITUMIKE /ZITUMIWE KWA USHAURI WA DAKTARI..Hata maduka ya dawa ingefaa wanaonunua dawa wawe na cheti cha kuandikiwa na daktari,asije ikamletea madhara.
RAI yangu kama ukitumia dawa za vidonge fulani na havikuketa matokea ukaenda kwa kumuona daktari akakuandikia aina nyingine ya vodonge badala ya sindano pia ni sahihi.SI LAZIMA SINDANO.
 
Back
Top Bottom