Katika matibabu sindano zinafanya kazi haraka na kwa ufanisi kuzidi vidonge.

Samahani mkuu naomba kuuliza, aina ya matibabu anatakiwa mgonjwa kujipangia kuwa Sasa nichome sindano au daktari ndo anatakiwa atoe ushauri na tiba kitaalamu zaidi ?
SI BUSARA MGONJWA KUJIPANGIA MATIBABU BADALA YA KUSIKILIZA USHAURI WA DAKTARI WAKE.
 
Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona .

Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k

Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano .

Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana kuuondoa ugonjwa .
Hata mimi napenda sana sindano kuliko vodonge.
 
Irrational use of high dosage antibiotics ndo imepelekea bacteria resistance
chief wangu DR HAYA LAND kwanini unashauri watu wa skip First line treatment?
exactly umenena vyema
Mfano hiyo MALARIA sijui marelia kama ulivyosema
.MIONGOZO YA MATIBABU INASEMAJE STGS
uncomplicated malaria -malaria ya kawaida isiyokali...urukie kwenye sindano ,Why?? uruke first line ..ACT ALU n.k Kwanini .??
unatengeneza usugu wa ugonjwa na dawa kuwa resistance ,
siku akipata severe malaria utakuwa na option ipi kama
vimelea vikitengeneza usugu.
DAKTARI SI KUNA STGS (miongozo ya matibabu ya kitaifa na kimataifa huko duniani.
SI KUNA INDICATIONS ZA KUTUMIA/KUTOA DAWA.
Matumizi yasiyo sahihi ya dawa ni kinyume na sayansi ya matibabu na maadili ya utabibu.
 
Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona .

Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k

Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano .

Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana kuuondoa ugonjwa .
MOJA YA SABABU KUBWA NI KWAMBA DAWA ZA VIDONGE NI RAHISI KUCHAKACHULIWA ...ukizingatia tupo chini ya serikali pumbavu ya sisiemu dawa nyingi za vidonge ni low quality
 
mkuu unaeweza ukataja mfano wa dawa ya kidonge iliyochakachuliwa , tuifahamu kwa faida ya wengine.
 
MOJA YA SABABU KUBWA NI KWAMBA DAWA ZA VIDONGE NI RAHISI KUCHAKACHULIWA ...ukizingatia tupo chini ya serikali pumbavu ya sisiemu dawa nyingi za vidonge ni low quality
mkuu unaweza ukataja mfano wa dawa ya kidonge iliyochakachuliwa tuifahamu,kwa faida ya wengine.
 
Nyingi sana na kwanza lazima ujue aina za uchakachuzi .....moja wapo ni madawa yaliyo pitwa na wakati (expire) kuwekwa kwenye tarehe zinazo onyesha bado yapo sawa ...uchakachuaji mwingine ni viambata vinavyo takiwa kuwekwa kwa asilimia ya chini ..hii ipo hadi kwenye dawa sumu kama za kuulia wadudu panya dawa za kulinda mbao nk
 
Nina imani na mamlaka za kudhibiti na kuhakiki ubora wa dawa zilizopo.
Na kwa cross cut issues ulizozitaja kama unaweza kuzithibitisha,je haziwezi kutokea kwa dawa za sindano pia?je hakuna waliotumia dawa za sindano kiholela wakapata usugu wa vimelea?USUGU wa vimelea unaeweza kusababishwa na matumizi mabaya/au yasiyo sahihi ya dawa katika formulations aina zote za dawa iwe za sindano au za vidonge.
YOTE KWA YOTE Katika hali zote bado nashauri kuzingatia ushauri wa daktari.Kuna MADHARA ya kutumia dawa kiholela bila kufuata ushauri wa daktari.Na kuna tafiti nyingi zinathibitisha hilo.
 
Kama una imani na ccm mimi nikusaidie vipi kwa huo upumbavu ...kuamini serikali pumbavu ya ccm ni kipaji
 
Back
Top Bottom