Katika mazingira yasiyo ya kawaida Manara amuombea msamaha Ally Kamwe sakata la Sandaland

Katika mazingira yasiyo ya kawaida Manara amuombea msamaha Ally Kamwe sakata la Sandaland

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Utu uzima dawa Manara ametumia utu uzima na busara zake kumuombea msamaha Ally Kamwe .

Adai masuala ya michezo ni tofauti sana ni mambo mengine kama uinjinia , udaktari ..nk

View: https://youtu.be/cUoVBt40irw?si=8ujhQqXeDnsOBJ7U
IMG-20241129-WA0046.jpg
 
Huyu Manara hapa anafanya mambo Matatu...!

1. Anajaribu Kumwombea msamaha
2. Anampa Lawama kwa kauli 'We ni shekh unashindwa nini kusamehe?
3. Tuhuma ya dhurumati kwa Kauli ' Hakuna mtu aliyetajirika kwa fedha ya fidia'

Ukisikia Uchonganishi ndo kama hivi...!tena anafanya hivi kwenye hadhira.
Hakuna ombi hapo..
 
Sandaland nae kazingua
Hao ni wafanya biashara na aly kamwe ni msemaji wa taasisi kubwa , maneno yake ni maneno ya taasisi , kisheria taasisi fulani kuharibu biashara ya taasisi nyingine ni kosa kisheria.

Sheria huduma za kieletronic Ac2010

matumizi mabaya ya teknolojia kwa njia ya kuharibu biashara ya wengine na kueneza habari za uwongo ama udukuzi.
 
Wanajisumbua hamna chochote, vp leo na Yanga wakiamua kutafuta matusi ya Ahmed Ally?Mpira wa bongo wasemaji ni mabingwa wa vijembe na kuponda. Utani wa mpira na pilato wapi na wapi au may be mauzo sio mazuri.
Hapo issues sio kati ya aly kamwe na simba, hapo issue ni kati ya wafanya biashara sandaland na aly kamwe kama msemaji wa yanga.
 
Utu uzima dawa Manara ametumia utu uzima na busara zake kumuombea msamaha ally kamwe .

Adai masuala ya michezo ni tofauti sana ni mambo mengine kama uinjinia , udaktari ..nk

View: https://youtu.be/cUoVBt40irw?si=8ujhQqXeDnsOBJ7U
View attachment 3165251

Mbona kwenye hayo maneno dogo alisema bwana Sanda, huyo sandaland anathibitisha vipi yeye ndio bwana Sanda? Je kama bwana Sanda ni Shaffih Dauda maana na yeye ana duka la vifaa vya michezo.

Sema Manara anapenda sana attention 😁
 
Hapo issues sio kati ya aly kamwe na simba, hapo issue ni kati ya wafanya biashara sandaland na aly kamwe kama msemaji wa yanga.
Hamna kitu tupo hapa hata angekuwa nani,utani wa mpira na pilato wapi na wapi.
 
Hao ni wafanya biashara na aly kamwe ni msemaji wa taasisi kubwa , maneno yake ni maneno ya taasisi , kisheria taasisi fulani kuharibu biashara ya taasisi nyingine ni kosa kisheria.

Sheria huduma za kieletronic Ac2010

matumizi mabaya ya teknolojia kwa njia ya kuharibu biashara ya wengine na kueneza habari za uwongo ama udukuzi.
Daaa
 
Back
Top Bottom