Katika mazingira yasiyo ya kawaida Manara amuombea msamaha Ally Kamwe sakata la Sandaland

Hatakutwa na chochote kama ataomba radhi.Kamwe kwa kujua kuwa ameharibu ataomba radhi ndani ya siku 7.Tunza risiti hii,Kamwe hana njia nyingine zaidi ya kuomba radhi maana baba yake amesema hata wakichanga ukoo mzima hawawezi kuipata hiyo bilioni 3
Hatoomba radhi wala nini na rudia tena tupo humu,JF inatunza risiti. Ninavyo zijua hizi timu za kko itatafuta clip(zipo nyingi) za Ahmed Ally akiziponda jezi za Yanga then GSM nae atampeleka Ahmed Ally kwa pilato then itakuwa bila bila. Narudia hili swala litaisha na Kamwe hatofanywa chochote na wala hatoomba msamaha.
 
Kama kweli Ahmed Ally aliiponda jezi ya Yanga haitoi uhalali wa kosa kisheria ndio maana Sandaland anataka kutoa funzo kwa wachafuzi wa brands za watu na Ally Kamwe ndio atakuwa mfano kwa wengine
Narudia tena hii comment yangu ya mwisho,hizi timu ni za watani wa jadi haijalishi jezi kutengeneza nani, utataniwa tu na hutofanya chochote.

Kamwe hatofanywa chochote na hatoomba msamaha,tunza hii risiti humu JF then nitakukumbusha.
 
Hatoomba radhi wala nini na rudia tena tupo humu,JF inatunza risiti. Ninavyo zijua hizi timu za kko itatafuta clip(zipo nyingi) za Ahmed Ally akiziponda jezi za Yanga then GSM nae atampeleka Ahmed Ally kwa pilato then itakuwa bila bila. Narudia hili swala litaisha na Kamwe hatofanywa chochote na wala hatoomba msamaha.
Wewe unazungumza kishabiki,Sandaland anaongea kisheria maana mwaka jana Ally Kamwe alitoa boko kama hili,Sandaland akamshitaki kwa viongozi wake ambao walilimaliza kwa Ally kuonywa na kukiri hatarudia
 
Sizungumzi kishabiki bali ni reality ndio maana na kwambia tuachane na hizi ngonjera halafu baadae utajua kati yangu mimi na ww nani yupo sahihi ni swala la muda tupo humu na JF inatunza risiti. Hizo unazo zungumza ww ni tetesi ambazo hazina ukweli, kejeli za jezi kwa hizi timu za Kkoo tumezizoea na hazitoisha zitaendelea kuwepo kila siku vizazi na vizazi.
 
Wanajisumbua hamna chochote, vp leo na Yanga wakiamua kutafuta matusi ya Ahmed Ally?Mpira wa bongo wasemaji ni mabingwa wa vijembe na kuponda. Utani wa mpira na pilato wapi na wapi au may be mauzo sio mazuri.
Ahmed Ally huwa ana akili sana. Huwezi msikia akitutaja kwa jina letu. Fuatilia. Tafuta clip ya kumshtakia kama utapata.haka kadogo ka njiti ndo kanaiga ujinga.
 
Mbona clip zake zipo nyingi akiponda jezi za za Yanga au hili nalo linahitaji kubishana.......niletee clip ya Kamwe akiitaja direct ...... mara nyingi anapenda kutumia Kolo?

Narudia tena hapo hama kesi,Kamwe hatoomba msamaha,tunza risiti hii JF.
 
Daa naona josephina umemtetea sana bwana ako. Mi nadhani wewe ndo unapaswa kuleta ushahidi. Ila pia punguza mahaba na usimshauri ujinga mumeo. Maana umekaza hapo...hatoomba msamaha....😁
 
Wanajisumbua hamna chochote, vp leo na Yanga wakiamua kutafuta matusi ya Ahmed Ally?Mpira wa bongo wasemaji ni mabingwa wa vijembe na kuponda. Utani wa mpira na pilato wapi na wapi au may be mauzo sio mazuri.
Sandaland sio Simba, labda ungesema GSM ndio watafute maneno ya Ahmed Ally.
 
Daa naona josephina umemtetea sana bwana ako. Mi nadhani wewe ndo unapaswa kuleta ushahidi. Ila pia punguza mahaba na usimshauri ujinga mumeo. Maana umekaza hapo...hatoomba msamaha....😁
Sasa we tranny unabishana kwa mihemko kama upo kwenye siku zako,clip hiyo hapo ya Kamwe.

Mimi sio mwanasheria ila Kamwe hapa anashinda mapema,barua ya huyo kanjanja wenu unaye mtetea imechop kuanzia dk ya 3 mpaka ya 5:50 haya sikiliza.

View: https://m.youtube.com/watch?v=UQ6MEyXH_ZU&pp=ygUaYWxpIGthbXdlIHV6aW5kdXppIHdhIGplemk%3D
 
Defamation Haina uzito kwa tz tu kwakua watu wanachukulia poa, lakini kwa nchi za wengine ni bonge la case.

sio kosa kuponda jezi za Simba, kosa ni kutaja jina la mtengenezaji na msambazaji. Nimeskia watu wakisema kataja neno sanda na kama kataja wazi ni dhahiri kaharibu brand ya watu. Sanda ni brand ndomana jina la sanda linasoma kwenye jezi za Simba. Kwahy kumtaja sanda Moja kwa moja ni kosa.

Ahmed Ally utamskia akiponda jezi za Yanga lakini huwezi kumskia akisema GSM katoa jezi mbaya, GSM ndo msambazaji wa jezi za yanga, GSM ni brand na yeye kama msemaji wa club kubwa anamamilioni ya watu wanaomfatilia , neno lake linasafiri masafa marefu. Kumshambulia hadharani ni kuharibu biashara yake.

Hata kama watayamaliza kimya kimya lakini atapata funzo kuto kumshambulia mtu au brand yake Moja kwa moja. Nafikiri hata sanda Hana shida na hizo pesa Bali anataka ampe funzo kijana.
 
Nyie wanawake mkipenda mtu mnapenda kweli kweli. Haka kalikozaliwa njiti hata uelewa wake huo ni mdogo mmekutana wote akili zenu ni zile zile. Anyway siwezi kukulaumu mtetee bwana ako.😁 Hadi videos zake unatunza? Kweli kipenda roho.....
 
Usitegemee chochote na hakutokuwa na kikao.
 
Nyie wanawake mkipenda mtu mnapenda kweli kweli. Haka kalikozaliwa njiti hata uelewa wake huo ni mdogo mmekutana wote akili zenu ni zile zile. Anyway siwezi kukulaumu mtetee bwana ako.😁 Hadi videos zake unatunza? Kweli kipenda roho.....
Nenda kapigwe pump watoe manii za wanaume.
 
Mbona clip zake zipo nyingi akiponda jezi za za Yanga au hili nalo linahitaji kubishana.......niletee clip ya Kamwe akiitaja direct ...... mara nyingi anapenda kutumia Kolo?

Narudia tena hapo hama kesi,Kamwe hatoomba msamaha,tunza risiti hii JF.
We jamaa mbishi sana..Kamwe kasema "bwana SANDA" neno SANDA limesajiliwa ndio maana bwana sandaland baada ya watu kuliponda neno SANDA kwenye jezi za Simba aligoma kulitoa akasema ni jina lake kibiashara na amelisajili..
 
Nipo mimi humu,huu uzi nitaurudia na uzuri JF inatunza risiti na nitawakumbusha. Husitegemee kamwe kuomba msamaha wa kusimama kwa Pilato.Ukishaingia kwenye hizi timu za Kkoo (iwe kibiashara au kiufundi au kiongozi) kutaniwa utataniwa tu,labda tufute utani wa jadi

View: https://m.youtube.com/watch?v=zeKNTddZVyI&pp=ygUaYWxpIGthbXdlIHV6aW5kdXppIHdhIGplemk%3D
 
Back
Top Bottom